Sanaa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 6:
Hivyo kazi yoyote ya sanaa inategemewa ioneshe ufundi wa hali ya juu ili iwe na mvuto kwa [[hadhira]] yake.
 
Tunaweza kuona [[kazi]] ya sanaa kupitia [[tanzu]] za [[uchoraji]], [[utarizi]], [[ususi]], [[fasihi]],[[uchongaji]],[[ufinyanzi]] na kadhalika.
 
Kila umbo huwa na [[nyenzo]] zinazotumika katika kuliumba umbo hilo. Kwa mfano katika [[uchongaji]] kuna [[mti]] ([[gogo]]), [[panga]], [[tezo]], [[msasa]], [[rangi]] na kadhalika.