Manispaa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Manisipaa''' (ing. ''municipality'') ni mji mwenye kiwango fulani ya kujitawala katika shughuli zake. Nchini Tanzania manisipaa ni mji mwenye wakazi zaidi ya...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 16:39, 19 Septemba 2015

Manisipaa (ing. municipality) ni mji mwenye kiwango fulani ya kujitawala katika shughuli zake. Nchini Tanzania manisipaa ni mji mwenye wakazi zaidi ya 100,000 hadi 500,000.

Katika muundo wa utawala manisipaa za Tanzania zinahesabiwa kama wilaya. Serikali ya manisipaa huitwa Halmashauri ya manisipaa (Municipal Council).

Manisipaa za Tanzania ni Bukoba , Dodoma , Iringa , Kigoma , Lindi , Morogoro , Moshi , Mtwara , Musoma , Shinyanga , Singida , Songea , Sumbawanga , Tabora .

Halafu kuna masisipaa tano ambazo ni sehemu ya majiji mawili.