Tofauti kati ya marekesbisho "Manispaa"

287 bytes added ,  miaka 5 iliyopita
no edit summary
(Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Manisipaa''' (ing. ''municipality'') ni mji mwenye kiwango fulani ya kujitawala katika shughuli zake. Nchini Tanzania manisipaa ni mji mwenye wakazi zaidi ya...')
 
'''Manisipaa''' (ing. ''municipality'') ni mji mwenye kiwango fulani ya kujitawala katika shughuli zake. Nchini Tanzania manisipaa ni mji mwenye wakazi zaidi ya 100,000 hadi 500,000.
 
Madaraka haya ni pamoja na haki ya kutawaliwa na serikali ya kimahali iliyochaguliwa na watu wa manisipaa (badala ya kusimamiwa na mwakilishi wa serikali kuu), kuamulia na kukusanya kodi fulani katika eneo la manisipaa na kupanga makisio yake yenyewe.
 
==Manisipaa za Tanzania==
Nchini [[Tanzania]] manisipaa ni mji mwenye wakazi zaidi ya 100,000 hadi 500,000.
 
Katika muundo wa utawala manisipaa za Tanzania zinahesabiwa kama wilaya. Serikali ya manisipaa huitwa Halmashauri ya manisipaa (''Municipal Council'').