Shinyanga (mji) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 17:
 
}}
'''Shinyanga''' ni [[manisipaa]] nchini [[Tanzania]] ambao ni makao makuu ya [[Mkoa wa Shinyanga]]. Kulingana na sensa ya mwaka 20022012 idadi ya wakazi wake ilihesabiwa kuwa 135161,166 <ref>[http://web.archive.org/web/20030503125102/http://www.tanzania.go.tz/census/districts/shinyangaurban.htm Tanzania.go.tz/census/districts/shinyangaurban]</ref>.391
<ref>[http://http://www.wavuti.weebly.com/uploads/3/0/7/6/3076464/census20general20report20-202920march202013_combined_final20for20printing1.pdf Sensa ya 2012, Shinyanga Region - Shinyanga Municipal Council]</ref> .
 
Manisipaa ya Shinyanga ni sawa na Wilaya ya Shinyanga Mjini.
 
Manispaa ya Shinyanga ina eneo la 548 [[km²]]. Eneo la utawala linaundwa na jumla ya tarafa 3, kata 17,vijiji 19, mitaa 25 na vitongoji 95.
 
Hali ya hewa ni ya kitropiki ambayo ina vipindi viwili ya majira ya mvua na kiangazi. Msimu wa mvua ni kati ya mwezi Oktoba na Desemba,pia huanza mwezi machi hadi Mei. Kiasi cha mvua kwa mwaka ni kati ya milimita 600 hadi 1000. Kiangazi huanza mwezi Mei hadi Oktoba, pia huanza Januari hadi Februari. Wastani wa jotoridi ni kati ya nyuzi za sentigredi 18 hadi 31.<ref>Maelezo kuhusu hali ya hewa kutoka tovuti ya manisipaa , ilitazamiwa Septemba 2015</ref>
 
==Marejeo==
{{marejeo}}
 
==Viungo vya Nje==
*[http://www.shinyangamc.go.tz/en/ Tovuti rasmi ya Manisipaa ya Shinyanga]]
*[http://www.mof.go.tz/mofdocs/budget/Budget%20Books/2011_2012/Recurrent%20Budget/Vote%2083.pdf Makisio ya Halmashauri ya manisipaa ya Shinyanga kwa mwaka 2011-12]
 
{{mbegu-jio-shinyanga}}