Majadiliano ya Wikipedia:Mradi wa Tanzania : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
CGN2010 (majadiliano | michango)
No edit summary
Mstari 1:
{{Majadiliano|search=y}}
 
== KUWEPO KWA IDADI KUBWA YA WATU WASIOJUA KUSOMA NA KUANDIKA. ==
 
Katika kata yetu ya Mwembe inakabiliwa na kuwepo na idadi kubwa ya watu wasiojua kusoma na kuandika.Je mradi una lengo gani katika kutokomeza hali hii? Na pia kuna upungufu wa huduma za kijamii nyingi kama Maji,Upungufu wa wataalamu katika vituo vya Afya ni upi mtazamo wa mradi kwa haya?
Return to the project page "Mradi wa Tanzania".