Majadiliano ya Wikipedia:Mradi wa Tanzania : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 8:
 
Katika kata yetu ya Mwembe inakabiliwa na kuwepo na idadi kubwa ya watu wasiojua kusoma na kuandika.Je mradi una lengo gani katika kutokomeza hali hii? Na pia kuna upungufu wa huduma za kijamii nyingi kama Maji,Upungufu wa wataalamu katika vituo vya Afya ni upi mtazamo wa mradi kwa haya?
 
:Je kata yako ni [[Mwembe (Same)]]? Mpendwa hapa tuko kwenye intaneti, na tovuti hii ni kamusi. Tunakusanya habari ili habari hizi zipatikane rahisi kwa watu wengi. Kwa watu kijijini njia ya kuboresha hali ni kuongea nao na kupanga pamoja na kufanya. Inaneti haiwasaidii moja kwa moja. Kile kinachowezekana hapo: ukiwa na habari kuhusu kata yako uongeze habari hizi katika makala ya [[Mwembe (Same)]]. Kabla ya kufanya hii ujiandikishe na kufungua akaunti inarahisisha mawasiliano tukijua tunaongea na nani. Wasalaam. '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 09:06, 20 Septemba 2015 (UTC)
Return to the project page "Mradi wa Tanzania".