Sudan Kusini : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d →‎Viungo vya nje: All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|eu}} using AWB (10903)
No edit summary
Mstari 63:
natural rescources petroleum; small reserves of iron ore, copper, chromium ore, zinc, tungsten, mica, silver, gold, hydropower. (CIA factbook)
}}
'''Sudan Kusini''' (jina rasmi: '''Jamhuri ya Sudan Kusini''', kwa [[Kiingereza]] '''Republic of South Sudan‎''') ni nchi huru iliyojitenga rasmi na [[Sudan]] tarehe [[9 Julai]] [[2011]], ikiwa ni ya 54 katika [[bara]] la [[Afrika]] na ya 193 duniani.
[[Picha:John Garang.jpg|thumb|150px]left|[[John Garang]], aliyekuwa [[Rais]] wa kwanza wa Sudan Kusini kabla ya uhuru na Makamu wa kwanza wa Rais wa Sudan, baada ya kuongoza wanamgambo wa Sudan ya Kusini kupigania [[uhuru]] wa majimbo ya kusini.]]
 
Hatua hiyo ilitokana na kwamba mwezi wa Januari 2011 wakazi wa Sudan Kusini walipiga [[kura]] juu ya swali la kujitenga na Sudan wakaamua karibu kwa [[kauli moja]] (98.83%) kuwa nchi huru.
'''Sudan Kusini''' ('''Jamhuri ya Sudan Kusini''', kwa [[Kiingereza]] '''Republic of South Sudan‎''') ni nchi huru iliyojitenga rasmi na [[Sudan]] tarehe [[9 Julai]] [[2011]], ikiwa ni ya 54 katika [[bara]] la [[Afrika]] na ya 193 duniani.
 
Tofauti kubwa kati ya pande hizo ilikuwa kwamba katika Sudan yenyewe idadi kubwa ya watu wamekuwa [[Waislamu]] na [[utamaduni]] wao una mchaganyiko wa tabia za Kiarabu na Kiafrika pamoja na usambazaji mkubwa wa [[lugha]] ya [[Kiarabu]]. Kumbe kusini kuna Waislamu wachache, wengi ni wafuasi wa [[dini za jadi]] au ni [[Wakristo]]. KiuchumiKi[[uchumi]] na kielimuki[[elimu]] kusini ikowako nyuma sana kulingana na kaskazini.
Hatua hiyo ilitokana na kwamba mwezi wa Januari 2011 wakazi wa Sudan Kusini walipiga kura juu ya swali la kujitenga na Sudan wakaamua karibu kwa [[kauli moja]] kuwa nchi huru.
 
Nchi ina muundo wa [[shirikisho]].
Tofauti kubwa kati ya pande hizo ilikuwa kwamba katika Sudan yenyewe idadi kubwa ya watu wamekuwa [[Waislamu]] na [[utamaduni]] wao una mchaganyiko wa tabia za Kiarabu na Kiafrika pamoja na usambazaji mkubwa wa [[lugha]] ya [[Kiarabu]]. Kumbe kusini kuna Waislamu wachache, wengi ni wafuasi wa [[dini za jadi]] au ni [[Wakristo]]. Kiuchumi na kielimu kusini iko nyuma sana kulingana na kaskazini.
 
Tangu upatikane uhuru, nchi imeendelea kuvurugwa na [[vita vya wenyewe kwa wenyewe]] na kwa sasa inashika nafasi ya kwanza katika [[orodha ya nchi dhaifu]].
Nchi ina muundo wa [[shirikisho]].
 
[[Mji mkuu]] ni [[Juba, Sudan|Juba]], wenye wakazi 1.118.233.
 
Imepakana na [[Sudan]] kaskazini, [[Ethiopia]] mashariki, [[Kenya]], [[Uganda]], na [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]] kusini, na [[Jamhuri ya Afrika ya Kati]] upande wa magharibi.
 
Inakadiriwa kwamba Sudan Kusini ina wakazi zaidi ya milioni 1512, lakini kutokana na ukosefu wa [[sensa]] kwa miongo kadhaa, makisio haya yaweza kuwa si sahihi, na kuweza kuongezeka hadi karibu milioni 17.
 
[[Uchumi]] unategemea [[kilimo]] vijijini na cha kujikimu, lakini mwanzoni mwa mwaka 2005, uchumi alianza mpito wa kutoka vijijini na mijini katika Sudan Kusini kumeonekana [[maendeleo]] kupindukia.
 
== Historia ==
[[Picha:John Garang.jpg|thumb|150px]left|[[John Garang]], aliyekuwa [[Rais]] wa kwanza wa Sudan Kusini kabla ya uhuru na Makamu wa kwanza wa Rais wa Sudan, baada ya kuongoza wanamgambo wa Sudan ya Kusini kupigania [[uhuru]] wa majimbo ya kusini.]]
Kuna [[nyaraka]] chache sana za [[historia]] ya mikoa ya kusini mpaka mwanzo wa utawala wa [[Misri]] upande wa kaskazini mapema [[1820]] na baadaye kuendelezwa kwa [[biashara ya utumwa]] kuingia kusini.
 
Line 106 ⟶ 107:
Zaidi ya watu milioni 2.5 wameuawa, zaidi ya milioni 5 kuachwa bila makao na wengine kuwa wahamiaji wa ndani, na kuwa [[wakimbizi]] kwa sababu ya vita vya wenyewe kwa wenyewe na sababu zingine zinazohusiana na vita.
 
Baada ya kifo cha [[John Garang]], majeshi ya [[Southern Sudan Army]] na [[South Sudan Defense Force]] (SSDF) yalisitisha uhasama wao na kuungana mnamo Januari [[2006]], chini ya [[Azimio la Juba]]. SSDF ilianzishwa na Makamu wa Rais wa sasa wa Sudan Kusini, Dkt. [[Riek Machar]].

Chini ya Azimio la Juba, Jenerali Matip akawa Naibu Kamanda Mkuu wa Jeshi la Sudan Kusini, na vikosi vyake vya SSDF kuingizwa katika Jeshi la Sudan Kusini, na kuongezea safu yake kutoka 50,000 hadi 309,000. Jumla ikawa askari 359,000. Wote sasa ni jeshi moja linalojulikana kama Jeshi la Sudan Kusini.

Jenerali Oyay Deng Ajak aliteuliwa kuwa Ofisa-mkuu-wa-Watumishi wa Jeshi la Sudan Kusini, hadi Mei 2009 wakati alipompisha Meja Jenerali James Hoth Mai<ref>[10] ^ http://www.newsudanvision.com/index.php?option=com_content&amp;view=article&amp;id=1715:developing-story-major-general-james-hoth-mai-appointed-spla-new-chief-of-staff &amp; Itemid = 6</ref>.
 
Mbali na Katiba ya Mpito ya Jamhuri ya Sudan <ref>{{citeweb|url=http://www.sudan-embassy.de/c_Sudan.pdf|title=Interim National Constitution of the Republic of Sudan, 2005}}</ref>, Katiba ya Mpito ya Sudan Kusini ya 2005 iliwekwa kuwa sheria kuu <ref>{{citeweb|url=http://gurtong.brandx.eu/LinkClick.aspx?fileticket=1atewJwi6UU%3d&tabid=341|title=Interim Constitution of Southern Sudan of 2005}}</ref> ya Sudan Kusini.
Line 119 ⟶ 124:
 
==Jiografia==
[[File:SouthSudanStates.svg|thumb|450px|Majimbo 10 ya Sudan Kusini yalivyotokana na [[wilaya]] 3 za Sudan {{legend|#9BCD9B|[[Bahr el Ghazal]]}} {{legend|#7AC5CD|[[Equatoria]]}} {{legend|#EEE685|[[Greater Upper Nile]]}}.]]
[[Picha:Political Regions of Sudan, Julai 2006.svg|thumb|right|[16] [17] [18]]]
KirasmiKiutawala, Sudan Kusini inajumuisha [[majimbo]] kumi ambayo hapo awali yalikuwa kihistoria Mikoa mitatu ya Bahr el Ghazal, Equatoria, na Upper Nile ya juu.

Maeneo matatu ya Milima ya Nuba, Abyei na Blue Nile ya Buluu kiutamaduni na kisiasa ni sehemu za Kusini lakini kwa mujibu wa [[CPA]] yatakuwa na utawala tofauti mpaka kura ya maoni ambayo ifanyike ambapo yatapata fursa ya kujiunga na Sudan Kusini au kubaki chini ya utawala yawa Sudan Kaskazini.
 
{{Columns |width=160px
Line 142 ⟶ 149:
 
== Idadi ya Watu ==
Inakubaliwa na wengi kuwa kabila kubwa zaidi Sudan Kusini ni [[Dinka]], ikifuatiwa na [[Nuer]] kisha [[Shilluk]]. Makabila mengine ya jamii ya Sudan Kusini ni [[Acholi]], [[Murle]], [[Bari]], [[Nubi]], [[Kuku]], [[Funj]], [[Maban]], [[Zandi]], [[Oduk]] na mengineyo.
 
==== Sensa ya Tano ya Watu na Makazi ya Sudan (2008) ====
"Sensa ya Tano ya Watu na Makazi ya Sudan" nzima, ilifanywa mwezi Aprili [[2008]]. Hata hivyo matokeo ya sensa ya Sudan Kusini yalikataliwa na viongozi wa Sudan ya Kusini kwa makisio kuwa "Ofisi kuu ya Takwimu mjini [[Khartoum]] ilikataa kutoa takwimu za kitaifa za sensa ya Sudan kwa kituo cha Sudan kusini cha Sensa, takwimu na tathmini." <ref>{{citenews|url=http://www.sudantribune.com/spip.php?article31746|title=South Sudan parliament throw outs census results|work=SudanTribune|date=8 Julai 2009}}</ref>

Sensa ya Sudan Kusini ilionyesha kuwa idadi ya watu ilikuwa million 8.26<ref name="n24"/>, <ref name="epro">{{citenews|url=http://www.enoughproject.org/blogs/s-sudan-census-bureau-releases-official-results-amidst-ongoing-census-controversy|title=S. Sudan Census Bureau Releases Official Results Amidst Ongoing Census Controversy|work=!enough The project to end genocide and crimes against humanity|date=8 Juni 2009|first=Maggie|last=Fick}}</ref> hata hivyo Rais [[Salva Kiir]] "alishuku kuwa takwimu zilikuwa zinapunguzwa katika baadhi ya maeneo na kuongezwa katika mengine, na hivyo kufanya Hesabu ya mwisho "kutokubalika"." <ref name="newvis">{{citenews|url=http://www.newsudanvision.com/index.php?option=com_content&view=article&id=1677:southern-sudanese-officials-decry-unfortunate-announcement-of-census-results&catid=1:sudan-news-stories&Itemid=6|title=Southern Sudanese officials decry ‘unfortunate’ announcement of census results|work=The New Sudan Vision|date=10 Mei 2009|first=Marvis|last=Birungi}}</ref>

Alidai pia kuwa idadi ya watu wa Sudan Kusini ilikuwa thuluthi moja ya tatuwatu wa Sudan, ilhali sensa ilionyesha kuwa ni asilimia 22 pekee<ref name="epro"/>.

Ilisemekana pia kuwa watu wengi wa Sudan Kusini hawakuhesabiwa "kutokana na hali ya hewa mbaya, hali mbaya ya mitandao ya mawasiliano na usafirishaji, na baadhi ya maeneo yalikuwa hayafikiki, na watu wengi kutoka Sudan Kusini walikuwa uhamishoni katika nchi jirani na kupelekea 'matokeo yasiyokubalika', kulingana [na] mamlaka ya Sudan Kusini<ref name="newvis"/>.

Mshauri Mkuu wa kiufundi wa [[Marekani]] wa sensa ya Kusini pia alisema wasajili wa sensa pengine walifikia asilimia 89 pekee ya wakazi<ref>{{citenews|url=http://www.npr.org/templates/story/story.php?storyId=103124761|title=Ethnic Divisions Complicate Sudan's Census|work=NPR|first=Gwen|last=Thompkins|date=15 Aprili 2009}}</ref>.
 
==== Sensa mpya ====
Mwaka [[2009]] Sudan ilianza upya sensa ya Sudan Kusini kabla ya [[kura ya maoni ya uhuru wa Sudan Kusini, 2011]], ambayo ilisemekana pia kujumuisha Wanasudan Kusini walio nchi zingine.

Hata hivyo harakati hii ilikashifiwa kwani iliziacha nje nchi zenye idadi kubwa ya watu kutoka Sudan Kusini, na badala yake kuhesabu nchi ambapo idadi hii ilikuwa ndogo<ref>{{citenews|url=http://www.rnw.nl/africa/article/south-sudan-claims-northern-sudans-census-dishonest|title=South Sudan says Northern Sudan's census dishonest|work=Radio Nederland Wereldomroep|date=6 Novemba 2009}}</ref>.
 
=== Lugha ===
Sudan Kusini inajumuisha zaidi ya makabila 200 yakizungumza [[lugha]] 60 zinazopatikana hasa katika Sudan ya Kusini na lugha nyingine kutoka nchi jirani za Kenya, Ethiopia, Uganda, Kongo, Sudan (Khartoum) na nyingine. [[Lugha rasmi]] ni [[Kiingereza]] na [[Juba-Kiarabu]], pamoja na lugha mbalimbali za mitaa katika majimbo au miji.
 
[[Lugha rasmi]] ni [[Kiingereza]], pamoja na kutambulika kwa lugha mbalimbali za mitaa katika majimbo au miji.
Lugha tatu kubwa za Kiafrika zinazotumiwa Sudan Kusini ni [[Thongjieng]] (wazungumzaji 3,000,000 ), [[Thok Naadh]] (wazungumzaji 1,599,000), na [[Shilluk]] (zaidi ya wazungumzaji 1,000,000). [[Nuer]] inazunguzmwa katika Bentiu, Nasir, Akobo, Maywuut nk na Shilluk inazunguzmwa katika [[Upper Nile]] au katika Ufalme wa Shilluk; [[Juba Kiarabu]] inazunguzmwa karibu katika kila sehemu ya Sudan Kusini lakini hasa katika majimbo ya [[Equatora Mashariki]], [[Equatoria Magharibi]] na [[Bahr el Jabel]]. [[Lugha za Wanubi]] zinazungumzwa sana katika milima ya Jimbo la Nuba. [[Lugha]] ya [[Uduk]] huzungumzwa na watu wa [[Uduk]], na pia baadhi ya majirani zao. Kuna zaidi ya lugha 200 zinazozungumzwa Sudan Kusini kwa jumla, lakini kwa sasa [[Kiingereza]] ndio [[lugha rasmi ya Sudan Kusini]].
 
Lugha tatu kubwa za Kiafrika zinazotumika Sudan Kusini ni [[Thongjieng]] (wazungumzaji 3,000,000 ), [[Thok Naadh]] (wazungumzaji 1,599,000), na [[Shilluk]] (zaidi ya wazungumzaji 1,000,000).
[[Kima]] cha [[uwezo wa kusoma]] katika Sudan Kusini mwaka 2006 kilikuwa kinakadiriwa kufikia asilimia 37 kwa [[wanaume]], 12 kwa [[wanawake]] au 24 kwa jumla kama wastani<ref name="unfpa"/>.
 
[[Nuer]] inazunguzmwa katika Bentiu, Nasir, Akobo, Maywuut nk na Shilluk inazunguzmwa katika [[Upper Nile]] au katika Ufalme wa Shilluk; [[Kiarabu cha Juba]] kinazunguzmwa karibu katika kila sehemu ya Sudan Kusini lakini hasa katika majimbo ya [[Equatora Mashariki]], [[Equatoria Magharibi]] na [[Bahr el Jabel]].
 
[[Lugha za Wanubi]] zinazungumzwa sana katika milima ya Jimbo la Nuba.
 
[[Lugha]] ya [[Uduk]] huzungumzwa na watu wa [[Uduk]], na pia baadhi ya majirani zao.
 
[[Kima]] cha [[uwezo wa kusoma]] katika Sudan Kusini mwaka 2006 kilikuwa kinakadiriwa kufikia [[asilimia]] 37 kwa [[wanaume]], 12 kwa [[wanawake]] au 24 kwa jumla kama wastani<ref name="unfpa"/>.
 
=== Dini ===
Watu wa Sudan kusini hujihusisha zaidi na [[imani za kitamaduniUkristo]] na [[Ukristodini asilia za Kiafrika]] (32.9%).

Ukristo una wafuasi takriban asilimia 5060 yaza diniwakazi zawa Sudan Kusini, wengi wakiwa wa [[Kanisa Katoliki]] na [[Anglikana]], yakiwemo pia [[Wakalvini]] na [[madhehebu]] mengine mengi madogo zaidi<ref name="hope">{{citeweb|url=http://www.hopeforthefutureinternational.org/about-southern-sudan-christianity.php|title=Christianity in Southern Sudan|work=Hope for the Future International}}</ref>.
 
[[Uislamu]] unafuatwa na 6.2%.
 
== Uchumi ==
Sehemu kubwa ya [[bajeti]] ya [[Serikali]] ya Sudan inatoka kwakatika [[pesa]] za [[mafuta]]. Mafuta na [[rasilimali]] nyingine za [[madini]] za Sudan Kusini zinaweza kupatikana karibu kila mahali, lakini [[Bentiu]] inajulikana kama jimbo lenye utajiri wa mafuta.
 
=== Mafuta ===
Katika miaka ya hivi karibuni, [[uchimbaji]] wa kiasi muhimu na makampuni ya kigeni umeanza huko Sudan Kusini, na kuinua hadhi yake ya kijiografia na ya kisiasa. Khartoum imegawanyailipogawanya Sudan katika vitalu, na takriban asilimia 85 ya mafuta hutokazilitoka Kusini.
 
Vitalu 1, 2, na 4 hudhibitiwa na kampuni kubwa zaidi kutoka ng'ambo, inayoitwa [[Greater Nile Petroleum Operating Company]] (GNPOC).
 
Vitalu vingine vinavyotoa mafuta katika Kusini ni vitalu 3 na 7 katika Upper Nile ya Mashariki.
 
Kitalu kingine muhimu cha Kusini, kiitwacho Kitalu B na Khartoum, kinadaiwa na wadau kadhaa. [[Total/0} ya Ufaransa ilipatiwa kandarasi ya kitalu hicho chenye kilomita mraba 90,000 katika [[miaka ya themanini lakini tangu wakati huo imefanya kazi chache huku ikidai "force majeure"|Total/0} ya [[Ufaransa1980]] ilipatiwa kandarasi ya kitalu hicho chenye kilomita mraba 90,000 katika miaka ya themanini lakini tangu wakati huo imefanya kazi chache huku ikidai [["force majeure"]]]]. Vipengele mbalimbali vya SPLM vilitoa kitalu hiki au sehemu zake kwa wadau wengine wa Sudan Kusini. Mikataba kadhaa kama hii aliyofanywailiyofanywa kabla ya Naivasha ilidhalilishwa wakati kiongozi wa SPLM / A Dkt John Garang de Mabior alipoondoka mamlakani. Kampuni moja katika Sudan Kusini, inadai kwamba Serikali ya Sudan Kusini imekubali mikataba yake ya kabla ya CPA{{Citation needed|date=Juni 2008}}. Kandarasi hizi zilikuwa zimeungwa mkono na marehemu Dkt John Garang na kukabidhiwa kwa serikali ya Sudan Kusini, ambayo awali ilitia saini makubaliano mnamo Septemba 2005 kama kiongozi wa SPLM / A na imeunga mkono hadharani mikataba inayosimamiwa na Sudan Kusini{{Citation needed|date=Juni 2008}}
Vitalu 1, 2, na 4 hudhibitiwa na kampuni kubwa zaidi kutoka ng'ambo, inayoitwa [[Greater Nile Petroleum Operating Company]] (GNPOC). GNPOC inajumuisha washiriki wafuatao: [[CNPC (Jamhuri ya Watu ya China]]), na hisa asilimia 40; [[Petronas (Malaysia)]], na asilimia 30; [[ONGC (India)]], na asilimia 25; na [[Sudapet]] ya serikali kuu ya Sudan na asilimia 5{{Citation needed|date=Juni 2008}}.
 
Sehemu ya CPA kuhusu ugavi wa mali inasema kwamba mikataba yote iliyotiwa saini kabla ya CPA itasalia; haitakuwa kuangaliwa upya na Tume ya Kitaifa ya Mafuta (NPC), tume iliyoanzishwa na CPA na inayojumuisha Khartoum na wawakilishi wa kusini na uenyekiti wa ushirikiano baina ya Rais [[Al-Bashir]] wa Khartoum na Rais Kiir wa Sudan Kusini. Hata hivyo, CPA haielezi bayana ni nani ana uwezo wa kutia saini mikataba ya kabla ya CPA. Pande zote mbili za Khartoum na Sudan Kusini zimewahi kujaribu kudai uwezo wa kutia saini makubaliano chini ya haki ya "self determination" iliyopewa upande wa kusini {{Citation needed|date=Juni 2008}} ambayo ilitangaza mnamo 19 Septemba 2009 katika nchi zaidi ya 105 duniani kote.
Vitalu vingine vinavyotoa mafuta katika Kusini ni vitalu 3 na 7 katika Upper Nile ya Mashariki. Hivi vinadhibitiwa na [[Petrodar]] ambayo inamilikiwa kwa asilimia 41 na CNPC ya China, asilimia 40 na Petronas, asilimia 8 na Sudapet, asilimia 5 na [[Gulf Petroleum]] na asilimia 5 na [[Al Thani]]. {{Citation needed|date=Juni 2008}}
 
Pande zote mbili za Khartoum na Sudan Kusini zimewahi kujaribu kudai uwezo wa kutia saini makubaliano chini ya haki ya "self determination" iliyopewa upande wa kusini ambayo ilitangaza mnamo 19 Septemba 2009 katika nchi zaidi ya 105 duniani kote.
Kitalu kingine muhimu cha Kusini, kiitwacho Kitalu B na Khartoum, kinadaiwa na wadau kadhaa. [[Total/0} ya Ufaransa ilipatiwa kandarasi ya kitalu hicho chenye kilomita mraba 90,000 katika miaka ya themanini lakini tangu wakati huo imefanya kazi chache huku ikidai "force majeure"|Total/0} ya [[Ufaransa]] ilipatiwa kandarasi ya kitalu hicho chenye kilomita mraba 90,000 katika miaka ya themanini lakini tangu wakati huo imefanya kazi chache huku ikidai [["force majeure"]]]]. Vipengele mbalimbali vya SPLM vilitoa kitalu hiki au sehemu zake kwa wadau wengine wa Sudan Kusini. Mikataba kadhaa kama hii aliyofanywa kabla ya Naivasha ilidhalilishwa wakati kiongozi wa SPLM / A Dkt John Garang de Mabior alipoondoka mamlakani. Kampuni moja katika Sudan Kusini, inadai kwamba Serikali ya Sudan Kusini imekubali mikataba yake ya kabla ya CPA{{Citation needed|date=Juni 2008}}. Kandarasi hizi zilikuwa zimeungwa mkono na marehemu Dkt John Garang na kukabidhiwa kwa serikali ya Sudan Kusini, ambayo awali ilitia saini makubaliano mnamo Septemba 2005 kama kiongozi wa SPLM / A na imeunga mkono hadharani mikataba inayosimamiwa na Sudan Kusini{{Citation needed|date=Juni 2008}}
 
== Hali ya kibinadamubinadamu ==
Sehemu ya CPA kuhusu ugavi wa mali inasema kwamba mikataba yote iliyotiwa saini kabla ya CPA itasalia; haitakuwa kuangaliwa upya na Tume ya Kitaifa ya Mafuta (NPC), tume iliyoanzishwa na CPA na inayojumuisha Khartoum na wawakilishi wa kusini na uenyekiti wa ushirikiano baina ya Rais [[Al-Bashir]] wa Khartoum na Rais Kiir wa Sudan Kusini. Hata hivyo, CPA haielezi bayana ni nani ana uwezo wa kutia saini mikataba ya kabla ya CPA. Pande zote mbili za Khartoum na Sudan Kusini zimewahi kujaribu kudai uwezo wa kutia saini makubaliano chini ya haki ya "self determination" iliyopewa upande wa kusini {{Citation needed|date=Juni 2008}} ambayo ilitangaza mnamo 19 Septemba 2009 katika nchi zaidi ya 105 duniani kote.
Sudan Kusini ilikiri kuwa na baadhi ya [[viashiria]] vya [[afya]] vibaya zaidi duniani<ref name="sudantribune">[40] ^ Ross, Emma (28 Januari 2004). [http://www.sudantribune.com/spip.php?article1616 Southern Sudan as unique combination of worst diseases in the world]. ''[[Sudan Tribune]]'' .</ref>. <ref>[41] ^ Moszynski, Peter (23 Julai 2005). [http://www.bmj.com/cgi/content/full/331/7510/179 Conference plans rebuilding of Southern Sudan's health service.] ''[[BMJ]]'' .</ref> Mwaka [[2004]], kulikuwa na ma[[daktari]] wapasuaji watatu tu kutumikia Sudan kusini yote, na [[hospitali]] sawa tatu, na katika baadhi ya maeneo hayo kuna [[daktari]] mmoja tu kwa kila watu 500,000<ref name="sudantribune"/>.
 
Mwaka [[2004]], kulikuwa na ma[[daktari]] wapasuaji watatu tu kutumikia Sudan Kusini yote, na [[hospitali]] sawa tatu, na katika baadhi ya maeneo hayo kuna [[daktari]] mmoja tu kwa kila watu 500,000<ref name="sudantribune"/>.
== Hali ya kibinadamu ==
Sudan Kusini ilikiri kuwa na baadhi ya [[viashiria]] vya [[afya]] vibaya zaidi duniani<ref name="sudantribune">[40] ^ Ross, Emma (28 Januari 2004). [http://www.sudantribune.com/spip.php?article1616 Southern Sudan as unique combination of worst diseases in the world]. ''[[Sudan Tribune]]'' .</ref>. <ref>[41] ^ Moszynski, Peter (23 Julai 2005). [http://www.bmj.com/cgi/content/full/331/7510/179 Conference plans rebuilding of Southern Sudan's health service.] ''[[BMJ]]'' .</ref> Mwaka [[2004]], kulikuwa na ma[[daktari]] wapasuaji watatu tu kutumikia Sudan kusini yote, na [[hospitali]] sawa tatu, na katika baadhi ya maeneo hayo kuna [[daktari]] mmoja tu kwa kila watu 500,000<ref name="sudantribune"/>.
 
Kufikia wakati wa [[Mkataba Mwafaka wa Amani]] wa 2005, mahitaji ya kiutu katika Sudan Kusini yalikuwa makubwa. Hata hivyo, mashirika ya kibinadamu chini ya uongozi wa Ofisi ya [[Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu]] (OCHA) yaliweza kuhakikisha kuna [[fedha]] za kutosha kuleta unafuunafuu kwa wakazi. Pamoja na misaada ya dharura na [[maendeleo]], miradi ya kibinadamu ilijumuishwa katika Mpango wa Kazi wa 2007 wa [[Umoja wa Mataifa]] na washirika wake.
 
Mnamo [[2007]], OCHA (chini ya uongozi wa [[Eliane Duthoit)]] ilianza awamu ya kumalizia Kusini mwa Sudan mahitaji ya kibinadamu polepole lakini kwa kugeuka juu ya udhibiti wa kufufua na maendeleo ya shughuli za NGOs na mashirika ya kijamii. <ref>[43] ^ [http://www.irinnews.org/Report.aspx?ReportId=71676 SUDAN: Peace bolsters security in the south]. [[IRIN.]] 18 Aprili 2007.</ref>
Line 210 ⟶ 243:
 
{{Coord|4|51|N|31|36|E|source:svwiki_region:SD|display=title}}
{{Afrika}}
{{African Union}}
{{mbegu-jio-Afrika}}
 
[[Jamii:Nchi za Afrika]]
[[Jamii:Sudan Kusini]]
[[Jamii:Nchi za Afrika]]
[[Jamii:Umoja wa Afrika]]
[[Jamii:Siasa ya Sudan]]
[[Jamii:Historia ya Sudan]]