Mundu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
d Bot: Parsoid bug phab:T107675
 
Mstari 3:
'''Mundu''' ni [[kifaa]] kinachotumiwa katika [[kilimo]] kwa kukata nyasi na mavuno ya [[nafaka]] na mazao mengine.
 
<nowiki> </nowiki>Mundu kama zana ya kilimo inajulikana tangu [[zama za mawe]].
 
Katika nchi nyingi za dunia haitumiwi tena sana kwa sababu nafasi yake imechukuliwa na mashine lakini pale ambako kazi ya kilimo inatekelezwa kwa mkono ni mahali pake hadi leo.