Moses Kulola : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Reverted to revision 933998 by Festus kahaya. (TW)
d Bot: Parsoid bug phab:T107675
Mstari 4:
Pia histori hii inapatikana katika Blog ya [http://tanzaniagospel.blogspot.com/ Tanzania Gospel Network]
 
<nowiki> </nowiki>Moses Kulola alizaliwa mwezi Juni 1928 katika [[familia]] ya watoto kumi, watano kati yao wakiwa bado hai mwaka 2013.
 
Alisajiliwa kwanza katika [[shule]] ya [[misheni]] iitwayo Ligsha Sukuma mwaka 1939, halafu alijiunga na [[taasisi]] ya [[usanifu]] mwaka [[1949]].