Ruby band : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
d Bot: Parsoid bug phab:T107675
Mstari 20:
'''KWEAPIPA'''
 
<nowiki> </nowiki>Jina lake halisi ni Khalid Waziri maarufu kama KWEAPIPA.Alianza talanta yake ya uimbaji katika chuo cha muziki maarufu kama nyumba ta vipaji Tanzania house of talent THT .Kabla ya kujiunga na Ruby Band alikua akifanya kazi kama solo artist .Alifanikiwa kurekodi wimbo mmoja ulioitwa '''SASAMBU''' ambao ulipata umaarufu kwa kiasi chake katika mitandao na radio mbalimbali nchini.
 
'''C-MINOR'''
 
<nowiki> </nowiki>Huyu ni mmoja wa waimbaji machachari wa '''''Ruby Band''''' akitokea IFAKARA mkoani Morogoro,Jina lake halisi ni SUNDAY MTOLE.Alikuwa akiimba katika matamasha mbalimbali mkoani morogoro .Aliweza kuwa na nyimbo kadhaa alizotunga lakini hazikuwahi kufika katika redio yoyote kwa wakati huo.
 
'''MAYA'''
 
<nowiki> </nowiki>Jina lake ni LAWRENCE CLEMENT lakini akiwa jukwaani anafahamika kama '''MAYA''',Jina ambalo amekuwa akilitumia muda mrefu tangu alipoanza kujishughulisha na masuala ya muziki wa uimbaji huko IFAKARA MOROGORO.Aliwahi kutoa wimbo wake ‘'''''ROHO INAUMA''’''' ambao ulifanya vizuri mkoani morogoro lakini haukuwa kufahamika sana nje ya mkoa.
 
'''<code>UONGOZI WA RUBY BAND</code>'''