74,258
edits
d (Removing Link FA template (handled by wikidata)) |
|||
{| border="1" cellpadding="2" cellspacing="0" style="float:right; empty-cells:show; border-collapse:collapse; border-color:#dfdfdf; margin-left:15px; margin-bottom:15px; width:38%"
|+<font size="+1">'''الجمهورية التونسية'''</font><br />
'''al-
'''Jamhuri ya Tunisia'''
|----- bgcolor="#EFEFEF"
| colspan="2" align="center" | Wahlspruch: ''Xxxxx xx xxx Xxxx.''<br>Sprache, "Übersetzung"
-->
|----▼
| [[Wimbo wa Taifa]] || ''[[Humata l-hima]]''▼
|----
| [[Lugha rasmi]] || [[Kiarabu]]<sup>1</sup>
| [[Aina ya serikali]] || [[Jamhuri]]
|----
| [[
|----
| [[Waziri Mkuu]] || [[
|----
| [[Eneo]] ||
|----
| [[Wakazi]] ||
|----
| [[Wakazi kwa km²]] ||
|----
| [[Uhuru]] || [[20 Machi]] [[1956]] (kutoka [[Ufaransa]])
|----
| [[Wakati]] || [[UTC]] +1
▲|----
▲| [[Wimbo wa Taifa]] || ''[[Humata l-hima]]''
|----
| [[Sikukuu ya Taifa]] || [[7 Novemba]]
| colspan="2" | [[Picha:Tunisia in its region.svg|right|Tunisia katika Afrika ya Kaskazini]]
|----
| colspan="2" | [[Picha:Tunisia sm03.png|thumb|240px|right|[[Ramani]] ya Tunisia]]
|}
'''Tunisia''' (kirefu Jamhuri ya Tunisia - kwa [[Kiarabu]] الجمهرية التونسية, al-Jumhūrīya at-Tūnisīya) ni nchi ya [[Afrika
[[Mji mkuu]] ni [[Tunis]] (wakazi 728 453) ulioko mahali pa [[Karthago]] ya kale.
Wakazi karibu wote hutumia lugha ya [[Kiarabu]]. Takriban watu 200,000 wanaendelea kuzungumza [[Kiberber]] ambacho ni lugha ya asili ya wenyeji lakini [[Waberber]] wengi wameshaanza kutumia Kiarabu.▼
==Historia==
Tunisia iliwahi kutawaliwa na [[Wafinikia]] walioanzisha huko [[mji]] wa Karthago.
Baada ya hao kushindwa na [[Roma ya Kale]], ilikuwa jimbo la "Africa" katika [[Dola la Roma]].
{{Mbegu-jio-Afrika}}▼
Kisha eneo lake likatawaliwa na [[Wavandali]], [[Waarabu]], [[Wahispania]], [[Waturuki]] na [[Wafaransa]].
Tarehe [[20 Machi]] [[1956]] ilipata [[uhuru]].
==Watu==
Wakazi karibu wote (98%) wanajiita [[Waarabu]] na hutumia [[lugha]] ya [[Kiarabu]] ambacho ndicho [[lugha rasmi]]. Hata hivyo [[damu]] yao ni mchanganyiko hasa wa ile ya Waberber, Waarabu na Watutuki.
▲
Katika [[elimu]] na biashara [[Kifaransa]] kinatumika pia sana.
Upande wa [[dini]], [[Uislamu]] unafuatwa na [[asilimia]] 98 za wakazi, nao ndio [[dini rasmi]].
==Viungo vya nje==
{{Commons}}
*[http://www.tunisie.gov.tn/index.php?lang=english Government of Tunisia] (official website).
*{{CIA World Factbook link|ts|Tunisia}}
*{{dmoz|Regional/Africa/Tunisia}}
*[http://www.bbc.co.uk/news/world-africa-14107241 Tunisia profile] from [[BBC News]].
*{{wikiatlas|Tunisia}}
{{Geographic location
|Northwest = {{flag|Algeria}}
|North = {{flag|Italy}}<br />''[[Mediterranean Sea]]''
|Northeast = {{flag|Italy}}{{nbsp|2}}{{flag|Malta}}<br />''Mediterranean Sea''
|West = {{flag|Algeria}}
|Centre = {{flagicon|Tunisia}} [[Outline of Tunisia|Tunisia]]
|East = ''Mediterranean Sea''
|Southwest = {{flag|Algeria}}
|South = {{flag|Algeria}}{{nbsp|2}}{{flag|Libya}}
|Southeast = {{flag|Libya}}
}}
{{Afrika}}
{{African Union}}
▲{{Mbegu-jio-Afrika}}
[[Jamii:Tunisia| ]]
[[Jamii:Nchi za Kiarabu]]
[[Jamii:Nchi za Afrika]]
[[Jamii:Umoja wa Afrika]]
[[Jamii:Nchi zinazotumia lugha ya Kifaransa]]
|