Lukuledi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
<sup>Kwa maana mengine ya jina hili angalia hapa [[Lukuledi (maana)]]</sup>
[[Picha:Flußbett des Lindiflusses während der Ebbe Deutsch-Ostafrika.jpg|thumbnail|Mdomo wa mto Lukuledi karibu na Lindi kwenye kiangazi wakati wa maji kupwa]]
 
'''Mto Lukuledi''' unaingia katika [[Bahari Hindi]] kwenye [[mji wa Lindi]].
Lukuledi ina urefu wa takriban 160 km. Wakati wa ukame maji si mengi lakini kwenye 40 km za mwisho kabla ya mdomo maji hupatikana. Kwenye 20 km za mwisho kabla ya mdomo mto hupanuka kuwa hori ya bahari.