Masasi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d fixing dead links
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Tanzania Masasi location map.svg|thumb|250px|Mahali pa Masasi (kijani) katika [[mkoa wa Mtwara]].]]
'''Wilaya ya Masasi''' ni wilaya moja ya [[Mkoa wa Mtwara]]. Katika sensa ya mwaka 20022012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 442247,573993 <ref>[http://web.archive.org/web/20040320090835/http://www.tanzaniawavuti.goweebly.tzcom/censusuploads/census3/districts0/masasi7/6/3076464/census20general20report20-202920march202013_combined_final20for20printing1.htmpdf Sensa ya 2012, Mtwara region - Masasi District Council].</ref>
kaskazini,
Maeneo ya mji wa Masasi yalikuwa sehemu ya wilaya hii lakini tangu mwaka 2011 mji ulipata halmashauri yake kwa hiyo kama wilaya ya pekee.
 
Masasi ni wilaya kubwa ya Mtwara inapakana na [[Mkoa wa Lindi]] upande wa kaskazini, [[Mkoa wa Ruvuma]] upande wa magharibi na nchi ya [[Msumbiji]] upande wa kusini. Upande wa mashariki kuna mpaka na [[wilaya ya Newala]].
 
Eneo la wilaya ni 4,429 km² linajumlisha asilimia 23 ya eneo lote la Mkoa wa Mtwara.
{{Kata za Wilaya ya Masasi}}
Kuna majimbo ya uchaguzi wa bunge mawili ambayo ni Lulindi na Masasi.
{{mbegu-jio-mtwara}}
 
Vitengo vya chini ni tarafa 5, [[kata (eneo)|kata]] 22, vijiji 170 na vitongoji 986.<ref>[[http://www.sulgo.or.tz/uploads/media/Masasi_Revenue_Study_Report.pdf Masasi Revenue study Report, uk 4 - idadi ya kata ilitajwa hapo kuwa 34, imesahihishwa hapa kulingana na sensa ya 2012]</ref>.
[[Jamii:Wilaya za Mkoa wa Mtwara|M]]
 
[[Jamii:Wilaya ya Masasi| ]]
==Uchumi==
Wakazi walio wengi ni wakulima wadogo. Zao la bishara ni hasa [[korosho]] lenye soko zuri na mapato ya wakazi ni wastani TSHs 720,000 kila mmoja kwa mwaka 2010/11 <ref>Ling. Masasi Revenue Study Report, mwaka 2011</ref>. Mazao ya chakula ni pamoja na [[muhogo]], [[mahindi]], [[mpunga]], [[mboga majani]] na matunda. Wengine hufuga [[mbuzi]], [[ng'ombe]], [[nguruwe]] na [[kuku]].
 
Hakuna [[tasnia]].
 
 
==Marejeo==
{{marejeo}} {{Kata za Wilaya ya Masasi}} [[Jamii:Wilaya ya Masasi]] [[Jamii:Mkoa wa Mtwara]] {{mbegu-jio-mtwara}}