Tanganyika : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 11:
 
== Chanzo katika koloni la Kijerumani ==
Maeneo yaliyoitwa baadaye ([[1920]]) "Tanganyika" yaliunganishwa mara ya kwanza tangu mwaka 1886 kama [[koloni]] la [[Ujerumani]] iliyoitwalililoitwa [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani]]. Kabla ya kufika kwa [[ukoloni]] kulikuwa na madola madogo mbalimbali na maeneo madogo ya kikabila.
 
Kanda la pwani pamoja na njia za misafara kuelekea [[Ziwa Tanganyika]] vilikuwa chini ya [[athira]] ya [[Usultani wa Zanzibar]].
Mstari 23:
Wakati wa [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia]] ([[1914]] - [[1918]]) koloni hilo la Kijerumani lilitekwa na ma[[jeshi]] ya Uingereza na [[Ubelgiji]].
 
[[Mkataba wa Versailles]] wa mwaka 1919 ulikuwa na kanuni za kuchukua makoloni yote ya Ujerumani na kuzikabidhi kwa mataifa washindi wa vita. Sehemu kubwa ya Afrika ya Mashariki ya Kijerumani iliwekwa chini ya utawala wa Uingereza, kasoro maeneo ya [[Rwanda]] na [[Burundi]] yaliyokabidhiwa mikononi mwa Ubelgiji.
 
== Tanganyika Territory ya Kiingereza baada ya kuondoka kwa Wajerumani ==