Tanganyika : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 33:
 
== Uhuru na Muungano na Zanzibar ==
Tanganyika imepatailipata uhuru wake tarehe [[9 Desemba]] [[1961]] (taz.: [[Historia ya [[Tanzania]]).
 
Mwaka 1964 imeunganika na [[Zanzibar]] kuwa Jamhuri ya Muungano wa [[Tanzania]].
 
Leo hii neno "Tanganyika" latumiwa wakati mwingine kutaja sehemu ya Tanzania isiyo [[Zanzibar]], hasa na watu ambao hawapendi muundo wa serikali mbili tu (ile kuu na ile ya Zanzibar) ndani ya muungano na wanadai kuwa na serikali ya tatu, yaani ile ya Tanganyika.