Waluguru : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d +def; +jamii
maneno kadhaa na ujumbe
Mstari 1:
'''Waluguru''' ni kabila la [[Tanzania]] wanaoishi katika mikoa ya [[Mkoa wa Morogoro|Morogoro]] na [[Mkoa wa Pwani|Pwani]], hasa kwenye [[Milima ya Uluguru]] ([[Wilaya ya Mvomero]]) na katika [[wilaya ya Morogoro vijijini]] ukianzia [[Matombo]] kuelekea [[Dutumi]] hadi [[Bwakila Juu]]. Kuna makundi makubwa mawili ya Waluguru. Makundi hayo ni Waluguru wanaoishi milimani na wale wanaoishi mabondeni. Waluguru wa milimani wanapatikana katika maeneo ya Mgeta, Kolero,baadhi ya maeneo ya Matombo na Kiroka, na pembezoni mwa Milima ya Uluguru hasa ile ya Tao la Mashakiri. Katika mfumo wa kifamilia Waluguru hufuata ukoo kwa mama yaani kwa kiingereza <nowiki>''</nowiki>matrilineare<nowiki>''</nowiki>. Hatahivyo, mtoto wa kiluguru huitwa jina la ukoo wa baba yake. Yaani: Waluguru wana 'mtala' na ukoo. Mtala ni jina la ukoo wa baba ambalo ndilo analoitwa mtoto. Kwa mfano: mtoto akiitwa 'Kobero' jina hili ni mtala na si la ukoo wake kwani 'kobero' ni jina analopewa mtoto ambaye baba yake ni 'mmadze'. Halikadhalika, mtoto akiitwa 'Mkude' jina hili ni mtala wa ukoo wa 'Wamwenda' lakini si la ukoo wa mtoto. Hivyo basi, kwa Waluguru baba hutao jina na mama hutoa ukoo: jina ni la ukoo wa baba, na ukoo ni wa mama!
 
Waluguru wanapenda kuishi pamoja na kushirikiana. Pia hupensda kunywa pombe na kushiriki kwenye sherehe za kimila.
Tamaduni na mila zao hufahamika sana katika suala la kucheza [[ngoma]] za asili kati ya [[Oktoba]] hadi [[Januari]], hasa wale wanaoishi katika vijiji vya [[Longwe]], [[Temekelo]], [[Mgata]], [[Kumba]], [[Singisa]], [[Bwakira]], [[Kolero]], [[Nyamighadu]] na vinginevyo vingi.
 
Tamaduni na mila zao hufahamika sana katika suala la kucheza [[ngoma]] za asili kati ya [[Oktoba]] hadi [[Januari]], hasa wale wanaoishi katika vijiji vya [[Longwe]], [[Temekelo|Tegekelo]], [[Mgata|Mgeta]], [[Kumba]], [[Singisa]], [[Bwakira]], [[Kolero]], [[Nyamighadu]] na vinginevyo vingi.
Vyakula vya asili ni [[magimbi]], [[matuwi]] na [[mahimbi]] pamoja na [[muhogo]].
 
Vyakula vya asili ni [[magimbi]], [[matuwi]] na [[mahimbi]] pamoja na [[muhogo|mihogo]].
 
Lugha yao ni [[Kiluguru]].
 
Upande wa [[dini]], kwa kawaida wale wa wanaoishi mabondeni ni [[Waislamu]] na wale wa milimani ni [[Wakristo]], hasa wa [[Kanisa Katoliki]].
 
{{DEFAULTSORT:Luguru}}