Historia ya Aljeria : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Historia ya Algeria''' inahusu eneo la Afrika Kaskazini ambalo wakazi wake leo wanaunda Jamhuri ya Algeria. {{Africa topic|Historia ya|title=...'
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Historia ya Algeria''' inahusu eneo la [[Afrika Kaskazini]] ambalo wakazi wake leo wanaunda [[Jamhuri]] ya [[Algeria]].
 
[[Mawe]] ya [[maghofu]] ya miji ya kale bado yanaonyesha [[uhusiano]] wake na [[Dola la Roma]] lililoitawala kwa [[karne]] nyingi hadi kuja kwa [[Waarabu]] katikati ya [[karne ya 7]].
 
Nchi imebaki pia na idadi kubwa (25-30%) ya wakazi wa [[kabila]] la [[Waberber]] ambao kihistoria ndio wakazi asilia.
 
Lakini kwa [[lugha]], [[utamaduni]] na [[historia]] Algeria ya leo ni sehemu ya dunia ya Kiarabu.
 
{{Africa topic|Historia ya|title=[[Historia ya Afrika]]}}