Historia ya Aljeria : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Historia ya Algeria''' inahusu eneo la [[Afrika Kaskazini]] ambalo wakazi wake leo wanaunda [[Jamhuri]] ya [[Algeria]].
 
== Historia ya kale==
[[Mawe]] ya [[maghofu]] ya miji ya kale bado yanaonyesha [[uhusiano]] wake na [[Dola la Roma]] lililoitawala kwa [[karne]] nyingi hadi kuja kwa [[Waarabu]] katikati ya [[karne ya 7]].
[[Historia]] inayojulikana ilianza na [[Waberber]] ambao wametokana na mchanganyiko wa wakazi asilia.
 
Tangu mwaka [[1000 KK]] [[Wafinisia]] walianza kufika na kujenga miji yao ya [[biashara]] kwenye pwani ya Mediteranea. Muhimu zaidi kati ya miji yao ulikuwa [[Karthago]] uliopanua [[utawala]] wake hadi [[Hispania]] na [[Gallia]] ([[Ufaransa]] ya Kusini).
Nchi imebaki pia na idadi kubwa (25-30%) ya wakazi wa [[kabila]] la [[Waberber]] ambao kihistoria ndio wakazi asilia.
 
Kumbe Waberber wa bara walijenga [[milki]] zao za [[Numidia]] na [[Mauritania ya kale|Mauretania]].
Lakini kwa [[lugha]], [[utamaduni]] na [[historia]] Algeria ya leo ni sehemu ya dunia ya Kiarabu.
 
Katika [[vita]] kati ya Karthago na [[Roma ya Kale]] Waberber walisimama upande wa [[Roma]], hivyo wakapata [[uhuru]] wao kwa muda kidogo, lakini wakati wa [[karne ya 1 KK]] Roma ilianza kutawala eneo la Algeria moja kwa moja.
 
Numidia na Mauretania zilikuwa ma[[shamba]] ya Roma na sehemu kubwa ya [[nafaka]] za [[Italia]] zililimwa huko.
 
[[Mawe]] ya [[maghofu]] ya miji ya kale bado yanaonyesha [[uhusiano]] wakewa Algeria na [[Dola la Roma]] lililoitawala kwa [[karne]] nyingi hadi kuja kwa [[Waarabu]] katikati ya [[karne ya 7]].
 
Utawala wa Roma ulivurugika baada ya [[Wavandali]] kutoka [[Ulaya Kaskazini]] kufika na kuanzisha milki yao kwa muda wa karne moja.
 
[[Jeshi]] la [[Kaisari]] [[Justiniani I]] wa [[Bizanti]] ilirudisha utawala wa Kiroma, ila tu katika [[karne ya 7]] uvamizi wa Waarabu [[Waislamu]] ulimaliza kipindi cha Kiroma.
 
==Uvamizi wa Waarabu==
Kuanzia mwaka [[642]] vikosi vya Waislamu Waarabu kutoka [[Misri]] walishambulia eneo la Afrika ya Kaskazini. Mwanzoni hawakufaulu kuwashinda Wabizanti lakini, baada ya [[uhamisho]] wa serikali ya ma[[khalifa]] kutoka [[Medina]] kwenda [[Dameski]], [[Waumawiya]] walikaza [[jitihada]] huko Afrika ya kaskazini.
 
Mwaka [[670]] [[jeshi]] kubwa la Waarabu likaunda mji wa [[Kairuan]] kusini ya [[Tunis]] ya leo na mji huu ulikuwa [[kitovu]] cha uenezaji. Walipoenea katika Algeria ya leo walirudishwa na Waberber [[Wakristo]] kwa msaada wa Wabizanti lakini jeshi lililofuata lilishinda na kufikia mwaka [[711]] Afrika ya kaskazini yote (maana yake nchi za leo za Tunisia, Algeria na Moroko) zilikuwa chini ya utawala wa Waarabu. Hapo sehemu kubwa ya Waberber walifanya haraka kujiunga na Uislamu wakasaidiana na Waarabu.
 
Matokeo hayo yalikuwa chanzo cha mabadiliko makubwa ya kudumu, maana yake upanuzi wa lugha ya Kiarabu kati ya wananchi na uenezaji wa Uislamu.
 
==Ukoloni wa Wafaransa==
Historia ya karibuni imeacha kumbukumbu yake inayoonekana katika [[athira]] kubwa ya lugha na [[utamaduni]] wa [[Kifaransa]] kutokana na [[ukoloni]] wa [[Ufaransa]] kati ya miaka [[1830]] na [[1962]].
 
Kwa Ma[[rais]] wa nchi tangu uhuru, angalia [[Orodha ya Marais wa Algeria]].
 
Kwa sasa Algeria inajenga upya [[umoja]] wa kitaifa baada ya [[vita ya wenyewe kwa wenyewe]] iliyoishia mwaka [[2002]].
 
Nchi imebaki pia na idadi kubwa (25-30%) ya wakazi wa [[kabila]] la [[Waberber]] ambao kihistoria ndio wakazi asilia. Lakini kwa [[lugha]], [[utamaduni]] na [[historia]] Algeria ya leo ni sehemu ya dunia ya Kiarabu.
 
{{Africa topic|Historia ya|title=[[Historia ya Afrika]]}}