Aljeria : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 62:
 
Jina la nchi limetokana na [[mji mkuu]] unaoitwa kwa jina lilelile "al-jaza-ir" kama nchi ya leo kwa [[lugha]] ya Kiarabu.
 
== Historia ==
Kwa lugha, [[utamaduni]] na [[historia]] Algeria ni sehemu ya dunia ya Kiarabu tangu miaka 1300 iliyopita. Nchi imebaki pia na idadi kubwa (25-30%) ya wakazi wa [[kabila]] la [[Waberber]] ambao kihistoria ndio wakazi asilia.
 
[[Mawe]] ya [[maghofu]] ya miji ya kale bado yanaonyesha [[uhusiano]] wake na [[Dola la Roma]] lililoitawala kwa [[karne]] nyingi hadi kuja kwa [[Waarabu]] katikati ya [[karne ya 7]].
 
== Jiografia ==
Line 89 ⟶ 84:
 
== Historia ==
 
=== Historia ya kale===
[[Historia]] inayojulikana ilianza na [[Waberber]] ambao wametokana na mchanganyiko wa wakazi asilia.
 
Tangu mwaka [[1000 KK]] [[Wafinisia]] walianza kufika na kujenga miji yao ya [[biashara]] kwenye pwani ya Mediteranea. Muhimu zaidi kati ya miji yao ilikuwa hasaulikuwa [[Karthago]] iliyopanuauliopanua [[utawala]] wake hadi [[Hispania]] na [[Gallia]] ([[Ufaransa]] ya Kusini).
 
Kumbe Waberber wa bara walijenga [[milki]] zao za [[Numidia]] na [[Mauritania ya kale|Mauretania]].
 
Katika [[vita]] kati ya Karthago na [[Roma ya Kale]] Waberber walisimama upande wa [[Roma]], hivyo wakapata [[uhuru]] wao kwa muda kidogo, lakini wakati wa [[karne ya 1 KK]] Roma ilianza kutawala eneo la Algeria moja kwa moja.
 
Numidia na Mauretania zilikuwa ma[[shamba]] ya Roma na sehemu kubwa ya [[nafaka]] za [[Italia]] zililimwa huko.
 
[[Mawe]] ya [[maghofu]] ya miji ya kale bado yanaonyesha [[uhusiano]] wakewa Algeria na [[Dola la Roma]] lililoitawala kwa [[karne]] nyingi hadi kuja kwa [[Waarabu]] katikati ya [[karne ya 7]].
 
Utawala wa Roma ulivurugika baada ya [[Wavandali]] kutoka [[Ulaya Kaskazini]] kufika na kuanzisha milki yao kwa muda wa karne moja.
Line 103 ⟶ 102:
[[Jeshi]] la [[Kaisari]] [[Justiniani I]] wa [[Bizanti]] ilirudisha utawala wa Kiroma, ila tu katika [[karne ya 7]] uvamizi wa Waarabu [[Waislamu]] ulimaliza kipindi cha Kiroma.
 
===Uvamizi wa Waarabu===
Kuanzia mwaka [[642]] vikosi vya Waislamu Waarabu kutoka [[Misri]] walishambulia eneo la Afrika ya Kaskazini. Mwanzoni hawakufaulu kuwashinda Wabizanti lakini, baada ya [[uhamisho]] wa serikali ya ma[[khalifa]] kutoka [[Medina]] kwenda [[Dameski]], [[Waumawiya]] walikaza [[jitihada]] huko Afrika ya kaskazini.
 
Mstari 109:
Matokeo hayo yalikuwa chanzo cha mabadiliko makubwa ya kudumu, maana yake upanuzi wa lugha ya Kiarabu kati ya wananchi na uenezaji wa Uislamu.
 
===Ukoloni wa Wafaransa===
Historia ya karibuni imeacha kumbukumbu yake inayoonekana katika [[athira]] kubwa ya lugha na [[utamaduni]] wa [[Kifaransa]] kutokana na [[ukoloni]] wa [[Ufaransa]] kati ya miaka [[1830]] na [[1962]].
 
Kwa Ma[[rais]] wa nchi tangu uhuru, angalia [[Orodha ya Marais wa Algeria|hapa]].
 
Kwa sasa Algeria inajenga upya [[umoja]] wa kitaifa baada ya [[vita ya wenyewe kwa wenyewe]] iliyoishia mwaka [[2002]].
 
Nchi imebaki na idadi kubwa (25-30%) ya wakazi wa [[kabila]] la [[Waberber]] ambao kihistoria ndio wakazi asilia. Lakini kwa [[lugha]], [[utamaduni]] na [[historia]] Algeria ya leo ni sehemu ya dunia ya Kiarabu.
== Wilaya za Aljeria ==
Kuna vitengo vya utawala 48 vinavyoitwa [[wilaya]].