Moto : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 123 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q3196 (translate me)
Mstari 31:
 
=== Matumizi asilia ya moto ===
Wataalamu wanaamini ya kwamba watu wa kale sana waliona faida ya kutumia moto uliotokea kiasili kutokana na [[radi]] n.k.. Walipokuta wanyama waliokufa katika moto ya aina hii waliona ya kwamba [[nyama]] iliyochomwa na moto ni lishe bora kuliko nyama bichimbichi. Walitambua pia ya kwamba mimea au sehemu za mimea zilikuwa chakula bora baada ya kukaa motoni kwa muda fulani.
 
Kwa hiyo inaaminiwa hao watu wa kwanza walijifunzewalijifunza kubeba moto asilia na kuitunzakuutunza kwenye makazi yao. Baadaye watu walijifunza kuwasha moto. Kuwa na moto karibu na makazi au mahali pa kulala kulikuwa namna ya ulinzi dhidi ya wanyama wakali wanaoogopa moto na hawana akili ya kubainisha matumizi yake. Moto ilisaidiaulisaidia pia wakati wa kuvindakuwinda.
 
[[Jamii:Kemia| ]]