Tofauti kati ya marekesbisho "Seli"

88 bytes added ,  miaka 5 iliyopita
no edit summary
[[Picha:Epithelial-cells.jpg|thumb|right|Seli za [[ngozi]] ya mtu chini ya [[hadubini]].]]
'''Seli''' (''kutoka [[Kilatini]] cellula = chumba kidogo'') ni [[chumba]] kidogo ndani ya [[mwili]] wa [[binadamu]], [[wanyama]]. [[mimea]] n.k.
 
'''Seli''' (''kutoka [[Kilatini]] cellula = chumba kidogo'') ni chumba kidogo ndani ya mwili wa binadamu, wanyama na mimea. Mwili wote wa kila [[kiumbehai]] hufanywa na seli. Viumbehai vidogo sana kama [[bakteria]] huwa na seli moja tu. Mwili wa mwanadamu huwa na seli [[trilioni]] 100 au 10<sup>14</sup>. Kila [[yai]] ni seli moja hivyo seli kubwa duniani ni yai la [[mbuni]]. Seli za kawaida ni ndogo sana hutazamiwa kwa kutumia [[hadubini]].
 
Kila [[yai]] ni seli moja tu, hivyo seli kubwa [[duniani]] ni yai la [[mbuni]].
 
Seli za kawaida ni ndogo sana kiasi kwamba huweza kutazamwa kwa kutumia [[hadubini]].
 
== Muundo wa seli ==
Seli zinatofautiana kisasi kati ya doeni za viumbehai. Bakteria na [[archaea]] huwa na seli za mfuto lakini seli za [[eukaryota]] zina vitu ndani zao.
Kimsingi seli za eukaryota huwa nanaː
* [[kiini cha seli]],
* [[utando wa seli]] ([[ganda]] la nje) na
* [[Utegili (seli)|utegili]] unaojaza chumba ndani ya utando. Ndani ya utegili kuna sehemu nyingine zenye kazi mbalimbali kama vile [[ribosomu]] au [[dutuvuo]] ([[mitokondria]]), .
 
== Aina za seli ==
Kuna aina kuu mbili za seli, nazo niniː
* '''Seli ya mnyama''' ni aina ya seli ambazo zinapatikana kwenye miili ya [[wanyama]] wote kama vile Binadamubinadamu n.k.
* '''Seli ya mmea''' ni aina ya seli zinazopatikana kwenye [[mimea]] yote kama vile Miti[[miti]] n.k.
 
Licha ya kuwa katika sehemu tofauti za [[viumbe hai]], seli hizi zinafanana baadhi ya vitu na kutofautiana pia.
 
Licha ya kuwa katika sehemu tofauti za [[viumbe hai]], seli hizi zinafanana baadhi ya vitu na kutofautiana pia. Baadhi ya vitu ambavyo vipo kwenye seli ya mnyama na seli ya mmea ni pamoja na:
*Zote zina kiini cha seli
*Zote zina utando wa seli