Sentensi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 7:
{{kuu|Tungo sentensi}}
Kuna aina kuu nne za sentensi nazo ni:
 
*Sahili
*Changamano
*Ambatano
*Shurutia
*Ambatano
*Changamano
 
1. Sentensi sahili - Hii ni aina ya sentesisentensi iliyoundwa kwa kishazi huru kimoja tu, mfanomfanoː Mama anakula.
 
2. Sentensi changamano - Hii ni aina ya sentensi iliyoundwa kwa kishazi tegemezi na kishazi huru,mfano mtotomfanoː Mtoto aliyepotea amenekanaameonekana.
 
3.Sentensi ambatano - Hii ni aina ya sentemsisentensi iliyoundwa kwa sentensi mbili zilizounganishwa na kiunganishi,mfano mfanoː Baba analima ingawa Mamamama anakula.
 
Sentensi ambatano huweza kuundwa kwa,kwaː
a. sentensi sahili + sentensi sahili.
b. Sentensi sahili + sentensi changamano.
c. Sentensi changamano + sentensi changamano.
 
4. Sentensi shurutia - Hii ni aina ya sentensi iliyoundwa kwa [[mofimu]] za masharti,mfano mfanoː ki, nge, ngeli pamoja na ngali.
Njia za uchanganuzi wa sentensisentensiː
a. Njia ya matawi au ngowe.
b. Njia ya mishale au mistari.
c. Njia ya visanduku au jedwarijedwali.
d. Njia ya maneno.
 
Hatua za uchanganuzi wa sentensisentensiː
1. Kuainisha sentensi husika
2. Kugawa sentensi katika kiima na kiarifu
3. Kuonesha vipashio vya kiima na kiarifu
4. Kuainisha aina za maneno
5.kuandika Kuandika sentnsi husika kwa kila panapohusika
 
==Muundo wa sentensi==