Tungamo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 5:
 
==Masi na graviti==
[[Graviti]] ya gimba fulani inategemeana na masi yake. Kila kitu hata gimba dogo kama jiwe, meza au mtu kina graviti yake. Ila tu masi kubwa ya [[dunia]] yetu inafanya graviti yake yaani nguvu inayosababisha ya kwamba watu na vitu havielei hewani bali kukaa kwenye uso wa ardhi tukivutwa kuelekea kitovu cha sayari yetu. Vitu vyote vinyvoshikwa na graviti ya dunia vina graviti yao vilevile lakini kwa sababu masi ya watu na vitu ni ndogo kabisa kuliko masi ya dunia hatuwezi kusikia tofauti. Pia mwezi unavutwa na graviti ya dunia yetu lakini masi ya mwezi ni kubwa kiasi graviti ya [[mwezi (gimba la angani)|mwezi]] inathiriinaathiri pia dunia. Hii inaonekana kirahisi kutokana na mabadiliko ya bahari kuwa [[maji kujaa na kupwa]] yanayosababishwa na uvutano wa graviti ya mwezi.
 
==Masi na inesha==