Tungamo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
'''Masi''' katika elimu ya [[fizikia]] ni tabia ya [[mata]], na kwa njia hii pia tabia ya [[gimba]] au [[dutu]].

[[Kipimo sanifu cha kimataifa]] cha masi ni [[kilogramu]]. [[Alama]] yake katika fomula kwa kawaida ni <math>m</math>.
 
==Masi na uzani==
Line 10 ⟶ 12:
Masi inafanya pia [[inesha]] (''inertia'') ya gimba fulani. Inesha ni tabia ya masi kubakia katika hali yake ya kutulia au kuwa na mwendo fulani hadi iathiriwe na nguvu ya nje. Masi kubwa zaidi huwa na inesha kubwa zaidi na inahitaji nguvu kubwa zaidi kwa kubadilisha mwendo wake. Tunaiona kirahisi tukijaribu kusukuma baisikeli, gari au lori: masi zao ni tofauti hivyo nguvu inayohitajika kuzisukuma au kuzisimamisha inatofautiana.
.
{{mbegu-fizikia}}
 
[[jamiiJamii:fizikiaFizikia]]