Tofauti kati ya marekesbisho "Burundi"

251 bytes added ,  miaka 5 iliyopita
[[Picha:Bundesarchiv Bild 105-DOA0246, Deutsch-Ostafrika, Leute des Königs Kasliwami.jpg|300px|thumbnail|Waskari wa mwami Kasliwami, mnamo mwaka 1910]]
== Historia ==
{{main|Historia ya Burundi}}
===Historia ya awali===
Wakazi wa kwanza huaminiwa kuwa [[wawindaji]] wa jamii ya [[Wasani]] na ya [[Wabilikimo]].
 
Katika [[karne]] za [[BK]] walifika wahamiaji [[Wabantu]] wenye [[ujuzi]] wa [[kilimo]] na [[uhunzi]].
 
=== Ufalme wa Burundi ===
[[Dola]] la kwanza katika eneo hili lilikuwa [[Ufalme wa Burundi]]. Katika mapokeo ya wenyeji ulianzishwa katika [[karne ya 17]] na mtu kwa jina la [[Cambarantama]] aliyefika ama kutoka Rwanda ama kutoka [[Waha|Buha]] katika [[Mkoa wa Kigoma]], Tanzania ya leo.
Mwaka [[1966]] mwami alipinduliwa na mwanasiasa [[Michel Micombero]] aliyejitangaza kuwa rais na nchi kuwa [[jamhuri]]. Kuanzia hapo wanasiasa na watumishi wakubwa walio Wahutu walifukuzwa, kukamatwa au kuuawa.
[[Picha:Karuzi Burundi goats.jpg|300px|thumbnail|Soko la Mbuzi, Karuzi, Burundi]]
 
== Hali ya nchi kijamii na kisiasa ==
Burundi ilundwa kama ufalme ulioongozwa na Watutsi waliotawala Wahutu. Lakini kabla ya ukoloni mipaka kati ya makundi hayo haikuwa imara mno; Wahutu ma[[tajiri]] katika utumishi wa mwami waliweza kupanda ngazi na kuwa Watutsi na pia Watutsi [[maskini]] waliweza kushuka ngazi na kuhesabiwa kati ya Wahutu, hasa baada ya [[Ndoa|kuoa]] au kuolewa na mtu wa upande mwingine. Uhusiano wa makundi hayo ulifanana zaidi na ule wa [[tabaka|matabaka]] si wa makabila tofauti, pia kwa sababu lugha ilikuwa moja kwa wote.