Arnold Schwarzenegger : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
d Masahihisho aliyefanya 197.250.53.100 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Abbasjnr
Mstari 1:
[[Picha:Arnold Schwarzenegger February 2015.jpg|thumb|right|180px|Arnold Schwarzenegger (2015).]]
 
'''Arnold Schwarzenegger''' (amezaliwa tar. [[30 Julai]] [[1947]] nchini [[Austria]]) ni mwigizaji wa filamu na mwanasiasa aliyekuwa [[gavana]] wa jimbo la [[California]] nchini [[Marekani]] tangu 2003 hadi Januari 2011. Arnold anaishi mjini [[Los Angeles]], [[California]].
'''Alex sila''' (amezaliwa tar. [[30 Julai|12 septemba]] [[1947|1990]] nchini kenya )
 
Schwarzenegger alielekea nchi [[Marekani]] mnamo mwaka wa [[1968]] na kisha baadaye akawa mwigizaji wa filamu. Ameigiza filamu nyingi tu, ikiwemo ile ya The Terminator na nyingine nyingi tu. Mnamo mwaka wa [[2003]], pale Bw. [[Gray Davis]] alipoondoka madarakani, Schwarzenegger akashinda kiti cha kuwa Gavana wa [[California]] akarudishwa mwaka 2007.
 
Schwarzenegger ameoana na Bi. Maria Shriver.
 
Kabla ya kuwa mwigizaji, kwanza alikuwa Mnyanyua Vyuma. Kwa kigezo hicho akafanikiwa kushinda mashindano ya Mr. Universum kwa takriban mara saba.
 
== Viungo vya nje ==
* {{IMDb|0000216}}
* [http://www.builtreport.com/schwarzenegger.html Arnold Schwarzenegger Bodybuilding Gallery] (Gallery of Arnold Schwarzenegger's Competitive Years)