Gambia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 58:
 
==Historia==
Eneo la Gambia lilikuwa sehemu ya [[Dola la Mali]] na [[Dola la Songhai]].
 
Nchi imepatikana kutokana na mvutano kati ya [[Uingereza]] na [[Ufaransa]] wakati wa [[ukoloni]].
 
Line 64 ⟶ 66:
Mapatano kati ya Ufaransa na Uingereza baada ya [[vita]] vya [[Napoleon Bonaparte]] yaliimarisha hali hiyo. Wafaransa walichukua eneo lote kubwa la Senegal, na Waingereza ile kanda ndogo ndani ya Senegal.
 
Tangu [[uhuru]] wa nchi zote mbili palikuwa na mpango wa kuziunganisha kwa njia ya [[shirikisho]] lililoanzishwa mwaka [[1982]] lakini Gambia ilitoka katika mapatano hayo mwaka [[1989]].
 
== Wakazi ==