Gambia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 60:
Eneo la Gambia lilikuwa sehemu ya [[Dola la Mali]] na [[Dola la Songhai]].
 
Nchi kama ilivyo leo imepatikana kutokana na mvutano kati ya [[Uingereza]] na [[Ufaransa]] wakati wa [[ukoloni]].
 
Mwanzoni Uingereza ulitafuta tu njia ya [[maji]] kwa ajili ya [[biashara]], bila kujali utawala wa nchi.
Mstari 67:
 
Tangu [[uhuru]] wa nchi zote mbili palikuwa na mpango wa kuziunganisha kwa njia ya [[shirikisho]] lililoanzishwa mwaka [[1982]] lakini Gambia ilitoka katika mapatano hayo mwaka [[1989]].
 
Mwaka [[2013]] Gambia ilitoka pia katika [[Jumuiya ya Madola]] kama chombo cha [[ukoloni mamboleo]].
 
== Wakazi ==