Ghana : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 91:
 
''Ghana'' lilichaguliwa kuwa jina rasmi la nchi ya Gold Coast nchi hii iliponyakua uhuru mnamo tarehe 6 Machi 1957; hata hivyo, Ghana haikuweza kutangaza [[uhuru]] wake kamili kutoka kwa Uingereza hadi tarehe 1 Julai 1960 ambapo pia nchi ilianza kujulikana kama ''Jamhuri ya Ghana.''
 
== Jiografia ==
[[Picha:Aburi botanical gardens.jpg|thumb|right|160px|Bustani ya Aburi Botanical Gardens]]
[[Picha:VoltaRiverWithAdombeBridge183-1-.jpg|thumb|left|180px|Mto wa Volta]]
[[Picha:Beach with palms Ghana.jpg|thumb|left|200px|Ufukoni mwa Ghana]]
[[Picha:Elefanten Mole National Park.jpg|thumb|right|Ndovu katika Hifadhi ya Kitaifa ya Mole]]
Ghana ni nchi ambayo inapatikana katika Ghuba ya Guinea, nyusi chache kaskazini mwa Ikweta, jambo ambalo linaipa nchi hii hali ya joto. Nchi hii inapatikana katika eneo la kilomita mraba 238,500 (maili mraba 92,085){{Convert|238500|km2|sqmi|0|abbr=on}}. Eneo hili limezungukwa na Togo kwa upande wa mashariki, Cote d’Ivoire upande wa magharibi, Burkina Faso upande wa kaskazini na Ghuba ya Guinea (Bahari ya Atlantiki) upande wa kusini. [[Laini ya Greenwich Meridian hupita ndani ya Ghana, katika jiji la viwanda la Tema.]] Kijiografia Ghana inapatikana karibu zaidi ya sehemu ya “katikati” mwa ulimwengu kuliko nchi yoyote ile ingawa sehemu halisi ya katikati, (0°, 0°) inapatikana katika Bahari ya Atlantiki kwa makadirio kilomita 614 (maili 382) {{Convert|614|km|mi|0|abbr=on}} kusini mwa Accra, Ghana, katika Ghuba ya Guinea.<ref>[http://en.wikipedia.org/wiki/Extreme_points_of_Earth Extreme pointi ya Dunia - Wikipedia, kamusi elezo huru]</ref>
 
Nchi hii ina maeneo tambarare, vilima vya chini na mito michache. Nchi ya Ghana inaweza kugawanywa katika maeneo matano tofauti ya kijiografia. Eneo la pwani ni sehemu ambayo ni ya chini na iliyo na ufuo wa mchanga huku ikipakana na koko na kukingamana na mito na vijito kadha wa kadha huku sehemu ya kaskazini ikiwa na maeneo ya juu yaliyo tambarare. Eneo la kusini magharibi na kusini ya kati mwa Ghana ni sehemu iliyoinuka sawa na pana yenye misitu ikiwa na vilima vya Ashanti na eneo sawa na pana (plateau) la Kwahu na safu ya vilima vya Akuapim-Togo vinapatikana kwenye mpaka wa mashariki mwa nchi. Bonde la Volta linachukua eneo la kati mwa Ghana. Sehemu ya juu zaidi nchini Ghana ni Mlima Afadjato ulio na urefu wa mita 855 (futi 2,904){{Convert|885|m|ft|0|abbr=on}} na unaopatikana kwenye safu ya vilima vya Akwapim-Togo.
 
Hali ya hewa ni ya hari. Kanda ya pwani ya mashariki ni ya joto na iliyokauka (angalia Dahomey Gap); pembe ya kusini magharibi, huwa na joto jingi na unyevu hewani; huku sehemu ya kaskazini ikiwa yenye joto jingi na iliyokauka. Ziwa Volta, ziwa lisilo la asili kubwa zaidi ulimwenguni, linaenea kupitia katika mafungu makubwa mashariki mwa Ghana na ndicho chanzo kikuu cha vijito vingi kama vile vya Oti na Afram.
 
Kuna misimu miwili mikuu nchini Ghana, masika na kiangazi. Kaskazini mwa Ghana huwa na msimu wa masika kutoka Machi hadi Novemba huku sehemu ya kusini, ukiwemo mji mkuu wa Accra, ikiwa na masika kutoka Aprili hadi Novemba katikati.
 
Kusini mwa Ghana kuna misitu ambayo daima ni ya kijani kibichi na ile ambayo hupoteza majani yake wakati fulani wa mwaka ikiwa na miti kama mikangazi, odumu na mipingo. Sehemu hii inayo pia mingi ya mitende ya mafuta na mikoko. Miti ya Shea, mibuyu na mikakaya hupatikana kwa kawaida katika maeneo ya Volta na kaskazini mwa nchi.
 
== Maeneo kiutawala ==
{{Main|Mikoa ya Ghana|Wilaya za Ghana}}
Ghana imegawiwa katika maeneo ya utawala kumi, ambayo yamegawiwa zaidi katika [[wilaya]] 138, kila moja ikiwa na Bunge la Wilaya (District Assembly). Chini ya wilaya kuna aina kadhaa za mabaraza, yakiwemo mabaraza 58 ya miji au maeneo, mabaraza 108 ya kanda na mabaraza 626 ya maeneo. Kamati za vitengo 16,000 huwa katika daraja ya chini zaidi.<ref name="cs"/>
 
Maeneo hayo 10 ni:
{{Columns
|col1=
* [[Ashanti (region)|Ashanti]], [[makao makuu]] [[Kumasi]]
* [[Brong-Ahafo Region|Brong Ahafo]], makao makuu [[Sunyani]]
* [[Central Region, Ghana|Central]], makao makuu [[Cape Coast]]
* [[Eastern Region, Ghana|Eastern]], makao makuu [[Koforidua]]
* [[Greater Accra Region|Greater Accra]], makao makuu [[Accra]]
|col2=
* [[Northern Region, Ghana|Northern]], makao makuu [[Tamale]]
* [[Upper East Region|Upper East]], makao makuu [[Bolgatanga]]
* [[Upper West Region|Upper West]], makao makuu [[Wa, Ghana|Wa]]
* [[Volta Region|Volta]], makao makuu [[Ho, Ghana|Ho]]
* [[Western Region, Ghana|Western]], makao makuu [[Sekondi-Takoradi]]
}}
 
=== Idadi ya wakazi katika majiji makubwa ===
{| class="wikitable" border="3"
|-
!Jiji
!Idadi ya Wakazi
|-
| [[Accra]]
| 2,096,653
|-
| [[Kumasi]]
| 1,604,909
|-
| [[Tamale]]
| 390,730
|-
| [[Takoradi]]
| 260,651
|-
| [[Tema]]
| 229,106
|-
| [[Teshie]]
| 154,513
|-
| [[Sekondi]]
| 153,900
|-
| [[Cape Coast]]
| 200,204
|-
| [[Obuasi]]
| 147,613
|-
| [[Dunkwa-On-uffin]]
| 108,482
|}
 
== Historia ==
Line 171 ⟶ 244:
 
[[Picha:Ghana regions named.png|thumb|right|180px|Maeneo ya Ghana]]
 
== Maeneo na Wilaya ==
{{Main|Mikoa ya Ghana|Wilaya za Ghana}}
Ghana imegawiwa katika maeneo ya utawala kumi, ambayo yamegawiwa zaidi kwa jumla ya [[wilaya]] 138. Maeneo hayo ni:
{{Columns
|col1=
* [[Ashanti (region)|Ashanti]], capital [[Kumasi]]
* [[Brong-Ahafo Region|Brong Ahafo]], capital [[Sunyani]]
* [[Central Region, Ghana|Central]], capital [[Cape Coast]]
* [[Eastern Region, Ghana|Eastern]], capital [[Koforidua]]
* [[Greater Accra Region|Greater Accra]], capital [[Accra]]
|col2=
* [[Northern Region, Ghana|Northern]], capital [[Tamale]]
* [[Upper East Region|Upper East]], capital [[Bolgatanga]]
* [[Upper West Region|Upper West]], capital [[Wa, Ghana|Wa]]
* [[Volta Region|Volta]], capital [[Ho, Ghana|Ho]]
* [[Western Region, Ghana|Western]], capital [[Sekondi-Takoradi]]
}}
 
=== Idadi ya wakazi katika majiji makubwa ===
{| class="wikitable" border="3"
|-
!Jiji
!Idadi ya Wakazi
|-
| [[Accra]]
| 2,096,653
|-
| [[Kumasi]]
| 1,604,909
|-
| [[Tamale]]
| 390,730
|-
| [[Takoradi]]
| 260,651
|-
| [[Tema]]
| 229,106
|-
| [[Teshie]]
| 154,513
|-
| [[Sekondi]]
| 153,900
|-
| [[Cape Coast]]
| 200,204
|-
| [[Obuasi]]
| 147,613
|-
| [[Dunkwa-On-uffin]]
| 108,482
|}
 
== Serikali na siasa ==
Line 235 ⟶ 253:
 
'''Serikali:''' Taifa la Ghana lilianzishwa kama demokrasia ya bunge wakati wa kupata uhuru mnamo mwaka wa 1957, ikifuatiwa na ubadilishanaji wa serikali za kijeshi na za kiraia. Mnamo Januari 1993, serikali ya kijeshi iliondoka na kuipisha Jamhuri ya Nne baada ya uchaguzi wa urais na ubunge mnamo mwisho wa mwaka wa 1992. Katiba ya 1992 inagawa mamlaka kati ya Rais, Bunge, Baraza la Mawaziri, Baraza la Taifa na mahakama huru. Serikali huchaguliwa na upigaji kura wa haki kwa wote; ingawa bunge halina uwiano kabisa kwani wilaya zilizo na watu wachache hupata wawakilishi wengi kwa kila mtu zikilinganishwa na wilaya ambazo zina idadi ya juu ya wakazi.<ref name="cs">"Serikali na Siasa". [http://lcweb2.loc.gov/frd/cs/ghtoc.html ''A Country Study: Ghana'' ] (La Verle Berry, mhariri). [[Library of Congress Idara ya Utafiti ya Shirikisho]] (Novemba 1994). ''Nakala unajumuisha makala hii kutoka chanzo hii, ambayo ni katika [[public domain.]] [http://lcweb2.loc.gov/frd/cs/about.html ]''</ref>
 
'''Maeneo ya Utawala:''' Kuna maeneo kumi ya utawala ambayo yamegawanywa katika wilaya 138, kila moja ikiwa na Bunge la Wilaya (District Assembly). Chini ya wilaya kuna aina kadhaa za mabaraza, yakiwemo mabaraza 58 ya miji au maeneo, mabaraza 108 ya kanda na mabaraza 626 ya maeneo. Kamati za vitengo 16,000 huwa katika daraja ya chini zaidi.<ref name="cs"/>
 
'''Mfumo wa Mahakama:''' Mfumo wa kisheria unatokana na ule wa Uingereza yaani British common law, sheria za kimila (kitamaduni), na katiba ya mwaka wa 1992. Daraja za mahakama hujumuisha Mahakama Kuu ya Ghana (mahakama ya juu zaidi), Mahakama za Rufaa na Mahakama Kuu za Kisheria. Chini ya mahakama hizi kuna mahakama za kuzunguka, mahakama za hakimu, na mahakama za kitamaduni. Taasisi zingine zisizo chini ya sheria ni pamoja na mahakama za umma. Tangu unyakuzi wa uhuru, mahakama zimekuwa huru kwa kiwango fulani; uhuru huu unaendelea chini ya Jamhuri ya Nne. Mahakama za chini zinadhahirishwa na kupangwa upya chini ya utawala wa Jamhuri ya Nne.<ref name="cs"/>
Line 245 ⟶ 261:
 
Wanadiplomasia na wanasiasa wengi Waghana wana vyeo katika mashirika ya kimataifa. Hawa ni pamoja na mwanadiplomasia Mghana na Katibu Mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa, Kofi Annan, Jaji wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai Akua Kuenyehia, na rais wa zamani Jerry Rawlings, ambaye alichaguliwa kuwa mwenyekiti wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Mataifa ya Afrika Magharibi (Economic Community of West African States).<ref name="cs"/>
 
== Uchumi ==
Ikiwa imejaliwa sana na maliasili, nchi ya Ghana ina mapato yanayokadiriwa kupata kila mtu (per capita output) yaliyo mara mbili yakilinganishwa na yale ya nchi zilizo maskini zaidi za Afrika Magharibi. Hata hivyo, Ghana imebakia kutegemea kwa kiwango fulani biashara na usaidizi wa kimataifa na vilevile shughuli za uwekezaji kutokana na Waghana wanaoishi nchi za ng’ambo. Karibu 28% ya wakazi wanaishi chini ya mstari wa kimataifa wa umaskini wa dola za kimarekani 1.25 kwa siku,<ref>''[http://hdr.undp.org/en/media/HDI_2008_EN_Tables.pdf fahirisi ya Maendeleo ya Binadamu,]'' Jedwali 3: Binadamu na umaskini wa kipato, s. 35. Rudishwa tarehe 1 Juni 2009</ref> na kwa mujibu wa wa Benki ya Dunia, kisio la mapato ya kila mtu (per capita income) ya Ghana yamekuwa mara dufu lakini kwa shida kwa miaka 45 iliyopita.<ref>{{Cite web |url=http://www.cnn.com/2009/WORLD/africa/07/10/ghana.obama/index.html|work=CNN|title=Obama's Ghana trip sends message across Africa|date=10 Julai 2009}}</ref>
 
Nchi ya Ghana, ikijulikana kwa dhahabu yake katika enzi za ukoloni, bado ni kati ya wazalishaji wakuu ulimwenguni wa dhahabu. Mauzo yake mengine nje ya nchi kama vile kakao, mbao, umeme, almasi, bauxiti, na manganisi ni uzalishaji mkuu wa fedha za kigeni.<ref name="twzwxn">[https: / / cia.gov / cia / publications / factbook / geos / gh.html The World Factbook]</ref> Kiwanja cha mafuta kinachoripotiwa kuwa na hadi pipa bilioni 3 (480,000,000 m3 {{Convert|3|Goilbbl|m3}} za mafuta mepesi kiligunduliwa mnamo mwaka wa 2007.<ref>[http://web.archive.org/web/20071226200944/http://news.yahoo.com/s/ap/20071222/ap_on_re_af/ghana_oil_discovery_3 kiongozi Ghana: Oil akiba saa 3B Mapipa - Yahoo! News]</ref> Utafutaji wa mafuta bado unaendelea na kiasi cha mafuta kinaendelea kuongezeka.<ref>[http://www.rigzone.com/news/article.asp?a_id=57319 RIGZONE - Kosmos Hufanya Pili Discovery Offshore Oil Ghana]</ref>
[[Picha:Sunyani Cocoa House.jpg|thumb|left|200px|Jumba la Kakao la Sunyani]] Bwawa la Akosombo, ambalo lilijengwa juu ya Mto Volta mnamo mwaka wa 1965 linatoa umeme unaozalishwa na maji kwa nchi ya Ghana na nchi zinazoizunguka.
 
Nguvukazi ya Ghana katika mwaka wa 2008 ilikuwa jumla ya watu milioni 11.5. Uchumi unaendelea kutegemea sana kilimo ambacho huchangia 37% ya Pato la Taifa na kutoa ajira kwa kwa 56% ya watu wanaofanya kazi, hasa wenye ardhi ndogo. Sekta ya viwanda ni sehemu ndogo tu ya uchumi wa Ghana iliyochangia kwa ujumla 7.9% ya Pato la Taifa mnamo 2007.<ref>{{Cite web|title=Ghana - MSN Encarta<!-- Bot generated title -->|url=http://encarta.msn.com/encyclopedia_761570799_5/Ghana.html|work=|archiveurl=http://www.webcitation.org/5kwpvAZNH|archivedate=2009-10-31|deadurl=yes}}</ref>
 
Sera za kiuchumi zisizofaa za serikali za kijeshi zilizopita na masharti ya vikosi vya kulinda usalama katika maeneo ya kanda vimechangia mfumuko katika fedha za nakisi, kushuka thamani kwa Sidi, na kuongezeka kwa kutoridhika kwa umma katika maswala ya hatua za kupunguza ugumu wa maisha. Hata hivyo, Ghana inabakia kuwa mojawapo baina ya nchi za Afrika nzima ambazo zina ustawi wa kiuchumi.
 
Mnamo Julai 2007, Benki ya Ghana ilianzisha shughuli ya kugeuza sarafu, kutoka kwa Sidi (¢) hadi kwa sarafu mpya, Sidi ya Ghana (GH¢). Kiwango cha ubadilishanaji ni Sidi moja ya Ghana kwa kila Sidi 10,000. Benki ya Ghana ilizindua kampeni kabambe katika vyombo vya habari ili kuelimisha umma juu ya mageuzo haya.
 
Sarafu mpya ya Sidi ya Ghana iko imara kwa kiwango kikubwa na katika mwaka wa 2008 ilibadilishwa kwa ujumla kwa thamani ya dola moja ya marekani kwa Sidi 1.1 ya Ghana.<ref name="cia.gov"/>
Kodi ya Ongezeko la Thamani ni kodi ya matumizi itozwayo nchini Ghana. Utaratibu huu wa kodi ambao ulianza mnamo 1998 ulikuwa wa kiwango kimoja lakini tangu Septemba 2007 utaratibu wa viwango kadhaa ulizinduliwa.
 
Mnamo 1998, kiwango cha kodi kilikuwa ni 10% na na kilirekebishwa mnamo mwaka wa 2000 na kuwa 12.5%. Hata hivyo baada ya kupitishwa kwa Sheria ya 734 (Act 734) ya mwaka 2007, kodi ya usawa ya 3% (a 3% VAT Flat Rate Scheme (VFRS) ) ilianza kufanya kazi kwa sekta ya usambazaji wa rejareja. Hii inawezesha wauzaji wa rejareja wa bidhaa zinazotozwa ushuru chini ya Sheria ya 546 (Act 546) kotoza ushuru wa pambizoni wa 3% kwa mauzo yao na kuhesabu ushuru huu pamoja na ule wa VAT. Hii inanuia kurahisisha utaratibu wa uchumi na kuongezeka kwa maafikiano. {{Citation needed|date=Agosti 2008}}
 
== Jiografia ==
[[Picha:Aburi botanical gardens.jpg|thumb|right|160px|Bustani ya Aburi Botanical Gardens]]
[[Picha:VoltaRiverWithAdombeBridge183-1-.jpg|thumb|left|180px|Mto wa Volta]]
[[Picha:Beach with palms Ghana.jpg|thumb|left|200px|Ufukoni mwa Ghana]]
[[Picha:Elefanten Mole National Park.jpg|thumb|right|Ndovu katika Hifadhi ya Kitaifa ya Mole]]
Ghana ni nchi ambayo inapatikana katika Ghuba ya Guinea, nyusi chache kaskazini mwa Ikweta, jambo ambalo linaipa nchi hii hali ya joto. Nchi hii inapatikana katika eneo la kilomita mraba 238,500 (maili mraba 92,085){{Convert|238500|km2|sqmi|0|abbr=on}}. Eneo hili limezungukwa na Togo kwa upande wa mashariki, Cote d’Ivoire upande wa magharibi, Burkina Faso upande wa kaskazini na Ghuba ya Guinea (Bahari ya Atlantiki) upande wa kusini. [[Laini ya Greenwich Meridian hupita ndani ya Ghana, katika jiji la viwanda la Tema.]] Kijiografia Ghana inapatikana karibu zaidi ya sehemu ya “katikati” mwa ulimwengu kuliko nchi yoyote ile ingawa sehemu halisi ya katikati, (0°, 0°) inapatikana katika Bahari ya Atlantiki kwa makadirio kilomita 614 (maili 382) {{Convert|614|km|mi|0|abbr=on}} kusini mwa Accra, Ghana, katika Ghuba ya Guinea.<ref>[http://en.wikipedia.org/wiki/Extreme_points_of_Earth Extreme pointi ya Dunia - Wikipedia, kamusi elezo huru]</ref>
 
Nchi hii ina maeneo tambarare, vilima vya chini na mito michache. Nchi ya Ghana inaweza kugawanywa katika maeneo matano tofauti ya kijiografia. Eneo la pwani ni sehemu ambayo ni ya chini na iliyo na ufuo wa mchanga huku ikipakana na koko na kukingamana na mito na vijito kadha wa kadha huku sehemu ya kaskazini ikiwa na maeneo ya juu yaliyo tambarare. Eneo la kusini magharibi na kusini ya kati mwa Ghana ni sehemu iliyoinuka sawa na pana yenye misitu ikiwa na vilima vya Ashanti na eneo sawa na pana (plateau) la Kwahu na safu ya vilima vya Akuapim-Togo vinapatikana kwenye mpaka wa mashariki mwa nchi. Bonde la Volta linachukua eneo la kati mwa Ghana. Sehemu ya juu zaidi nchini Ghana ni Mlima Afadjato ulio na urefu wa mita 855 (futi 2,904){{Convert|885|m|ft|0|abbr=on}} na unaopatikana kwenye safu ya vilima vya Akwapim-Togo.
 
Hali ya hewa ni ya hari. Kanda ya pwani ya mashariki ni ya joto na iliyokauka (angalia Dahomey Gap); pembe ya kusini magharibi, huwa na joto jingi na unyevu hewani; huku sehemu ya kaskazini ikiwa yenye joto jingi na iliyokauka. Ziwa Volta, ziwa lisilo la asili kubwa zaidi ulimwenguni, linaenea kupitia katika mafungu makubwa mashariki mwa Ghana na ndicho chanzo kikuu cha vijito vingi kama vile vya Oti na Afram.
 
Kuna misimu miwili mikuu nchini Ghana, masika na kiangazi. Kaskazini mwa Ghana huwa na msimu wa masika kutoka Machi hadi Novemba huku sehemu ya kusini, ukiwemo mji mkuu wa Accra, ikiwa na masika kutoka Aprili hadi Novemba katikati.
 
Kusini mwa Ghana kuna misitu ambayo daima ni ya kijani kibichi na ile ambayo hupoteza majani yake wakati fulani wa mwaka ikiwa na miti kama mikangazi, odumu na mipingo. Sehemu hii inayo pia mingi ya mitende ya mafuta na mikoko. Miti ya Shea, mibuyu na mikakaya hupatikana kwa kawaida katika maeneo ya Volta na kaskazini mwa nchi.
 
== Wakazi ==
Line 302 ⟶ 286:
Kwa mujibu wa [[sensa]] ya serikali ya 2000, mgawanyiko wa kidini ni: [[Wakristo]] 69%, [[Waislamu]] 16%, [[dini asilia za Kiafrika]] 15%<ref>[http://www.state.gov/g/drl/rls/irf/2007/90100.htm 2007 Report on International Religious Freedom - Ghana]</ref>.
 
=== Afya ===
Kufikia mwaka wa [[2009]], matarajio ya [[urefu wa maisha]] (life expectancy) wakati wa kuzaliwa ni takriban miaka 59 kwa wanaume na 60 kwa wanawake <ref name="ReferenceB">https: / / www.cia.gov / library / publications / the-dunia-factbook / geos / gh.html</ref> huku makisio ya [[vifo vya watoto wachanga]] yakiwa 51 kwa watoto 1000 waliozaliwa hai <ref name="ReferenceB"/>.
 
Line 311 ⟶ 295:
== Watu na Utamaduni ==
Ghana ni nchi iliyo na makabila mbalimbali; kwa hivyo ni mchanganyiko wa tamaduni wa makabila yake yote, Ashanti, Fante, Akyem, Kwahu, Ga, Ewe, Mamprusi na Dagomba, baina ya mengine. Jambo hili linadhihirika katika upishi, sanaa na desturi ya mavazi ya Ghana.
 
Maadhimisho ya tamasha nchini Ghana ni sehemu muhimu ya utamaduni wa Ghana na kuna tamasha nyingi kama vile Homowo, Odwira, Aboakyer, Dodoleglime na Sandema baina ya zingine. Ibada na mila kadha wa kadha hufanywa wakati wote wa mwaka katika sehemu mbali mbali za nchi, zikiwemo zile za kuzaliwa, ibada za mpito maishani kama vile kubalehe, ndoa na kifo.
 
Line 327 ⟶ 312:
 
=== Muziki ===
{{Main|MusicMusiki ofwa Ghana}}
[[Picha:Dashiki and kufi.jpg|thumb|left|200px|Wapiga ngoma Waghana]]
[[Picha:Axatse Ghana.jpg|thumb|right|100px|Axatse]]
Line 351 ⟶ 336:
== Vyombo vya Habari na Burudani ==
[[Picha:Miss Ghana 08 Frances Takyi Mensah.jpg|thumb|left|120px|Miss Ghana 2007]]
{{Main|Media of Ghana}}
Vyombo vya habari vya Ghana ni mojawapo ya vile vilivyo na uhuru zaidi barani Afrika. Hapo awali, vilikuwa vimewekewa vizuizi vingi wakati wa mfululizo wa mapinduzi ya serikali na viongozi wa jeshi. Sura ya 12 ya katiba ya 1992 ya Ghana inatoa hakikisho la uhuru na kujisimamia kwa vyombo vya habari huku Sura ya 2 ikizuia uthibiti.<ref name="gov">[http://www.ghana.gov.gh/ghana/constitution_republic_ghana.jsp Katiba ya Ghana,] ''Serikali ya Ghana.''</ref>
 
Line 386 ⟶ 370:
 
Chuo Kikuu cha zamani zaidi nchini Ghana, Chuo Kikuu cha Ghana, ambacho kilianzishwa mnamo mwaka wa 1948, kilikuwa na takriban jumla ya wanafunzi 29,754 katika mwaka wa 2008.<ref>[http://www.ug.edu.gh/index1.php?linkid=243&amp;sublinkid=72 Chuo Kikuu cha Ghana]</ref> Tangu unyakuzi wa uhuru wa Ghana, nchi hii imekuwa mojawapo ya vitovu vya elimu katika eneo la Afrika Kusini mwa Sahara na imekuwa mwenyeji wa watu maarufu kama vile Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe, Alhaji Sir Dauda Jawara wa The Gambia na Cyprian Ekwensi wa Nigeria baina ya wengine. [[Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Kwame Nkrumah]], ambacho ndicho chuo kikuu cha pili kuanzishwa nchini Ghana, ndicho chuo cha kwanza cha masomo ya sayansi na teknolojia nchini humo na katika ukanda wa Afrika Magharibi.
 
== Uchumi ==
Ikiwa imejaliwa sana na maliasili, nchi ya Ghana ina mapato yanayokadiriwa kupata kila mtu (per capita output) yaliyo mara mbili yakilinganishwa na yale ya nchi zilizo maskini zaidi za Afrika Magharibi. Hata hivyo, Ghana imebakia kutegemea kwa kiwango fulani biashara na usaidizi wa kimataifa na vilevile shughuli za uwekezaji kutokana na Waghana wanaoishi nchi za ng’ambo. Karibu 28% ya wakazi wanaishi chini ya mstari wa kimataifa wa umaskini wa dola za kimarekani 1.25 kwa siku,<ref>''[http://hdr.undp.org/en/media/HDI_2008_EN_Tables.pdf fahirisi ya Maendeleo ya Binadamu,]'' Jedwali 3: Binadamu na umaskini wa kipato, s. 35. Rudishwa tarehe 1 Juni 2009</ref> na kwa mujibu wa wa Benki ya Dunia, kisio la mapato ya kila mtu (per capita income) ya Ghana yamekuwa mara dufu lakini kwa shida kwa miaka 45 iliyopita.<ref>{{Cite web |url=http://www.cnn.com/2009/WORLD/africa/07/10/ghana.obama/index.html|work=CNN|title=Obama's Ghana trip sends message across Africa|date=10 Julai 2009}}</ref>
 
Nchi ya Ghana, ikijulikana kwa dhahabu yake katika enzi za ukoloni, bado ni kati ya wazalishaji wakuu ulimwenguni wa dhahabu. Mauzo yake mengine nje ya nchi kama vile kakao, mbao, umeme, almasi, bauxiti, na manganisi ni uzalishaji mkuu wa fedha za kigeni.<ref name="twzwxn">[https: / / cia.gov / cia / publications / factbook / geos / gh.html The World Factbook]</ref> Kiwanja cha mafuta kinachoripotiwa kuwa na hadi pipa bilioni 3 (480,000,000 m3 {{Convert|3|Goilbbl|m3}} za mafuta mepesi kiligunduliwa mnamo mwaka wa 2007.<ref>[http://web.archive.org/web/20071226200944/http://news.yahoo.com/s/ap/20071222/ap_on_re_af/ghana_oil_discovery_3 kiongozi Ghana: Oil akiba saa 3B Mapipa - Yahoo! News]</ref> Utafutaji wa mafuta bado unaendelea na kiasi cha mafuta kinaendelea kuongezeka.<ref>[http://www.rigzone.com/news/article.asp?a_id=57319 RIGZONE - Kosmos Hufanya Pili Discovery Offshore Oil Ghana]</ref>
[[Picha:Sunyani Cocoa House.jpg|thumb|left|200px|Jumba la Kakao la Sunyani]] Bwawa la Akosombo, ambalo lilijengwa juu ya Mto Volta mnamo mwaka wa 1965 linatoa umeme unaozalishwa na maji kwa nchi ya Ghana na nchi zinazoizunguka.
 
Nguvukazi ya Ghana katika mwaka wa 2008 ilikuwa jumla ya watu milioni 11.5. Uchumi unaendelea kutegemea sana kilimo ambacho huchangia 37% ya Pato la Taifa na kutoa ajira kwa kwa 56% ya watu wanaofanya kazi, hasa wenye ardhi ndogo. Sekta ya viwanda ni sehemu ndogo tu ya uchumi wa Ghana iliyochangia kwa ujumla 7.9% ya Pato la Taifa mnamo 2007.<ref>{{Cite web|title=Ghana - MSN Encarta<!-- Bot generated title -->|url=http://encarta.msn.com/encyclopedia_761570799_5/Ghana.html|work=|archiveurl=http://www.webcitation.org/5kwpvAZNH|archivedate=2009-10-31|deadurl=yes}}</ref>
 
Sera za kiuchumi zisizofaa za serikali za kijeshi zilizopita na masharti ya vikosi vya kulinda usalama katika maeneo ya kanda vimechangia mfumuko katika fedha za nakisi, kushuka thamani kwa Sidi, na kuongezeka kwa kutoridhika kwa umma katika maswala ya hatua za kupunguza ugumu wa maisha. Hata hivyo, Ghana inabakia kuwa mojawapo baina ya nchi za Afrika nzima ambazo zina ustawi wa kiuchumi.
 
Mnamo Julai 2007, Benki ya Ghana ilianzisha shughuli ya kugeuza sarafu, kutoka kwa Sidi (¢) hadi kwa sarafu mpya, Sidi ya Ghana (GH¢). Kiwango cha ubadilishanaji ni Sidi moja ya Ghana kwa kila Sidi 10,000. Benki ya Ghana ilizindua kampeni kabambe katika vyombo vya habari ili kuelimisha umma juu ya mageuzo haya.
 
Sarafu mpya ya Sidi ya Ghana iko imara kwa kiwango kikubwa na katika mwaka wa 2008 ilibadilishwa kwa ujumla kwa thamani ya dola moja ya marekani kwa Sidi 1.1 ya Ghana.<ref name="cia.gov"/>
Kodi ya Ongezeko la Thamani ni kodi ya matumizi itozwayo nchini Ghana. Utaratibu huu wa kodi ambao ulianza mnamo 1998 ulikuwa wa kiwango kimoja lakini tangu Septemba 2007 utaratibu wa viwango kadhaa ulizinduliwa.
 
Mnamo 1998, kiwango cha kodi kilikuwa ni 10% na na kilirekebishwa mnamo mwaka wa 2000 na kuwa 12.5%. Hata hivyo baada ya kupitishwa kwa Sheria ya 734 (Act 734) ya mwaka 2007, kodi ya usawa ya 3% (a 3% VAT Flat Rate Scheme (VFRS) ) ilianza kufanya kazi kwa sekta ya usambazaji wa rejareja. Hii inawezesha wauzaji wa rejareja wa bidhaa zinazotozwa ushuru chini ya Sheria ya 546 (Act 546) kotoza ushuru wa pambizoni wa 3% kwa mauzo yao na kuhesabu ushuru huu pamoja na ule wa VAT. Hii inanuia kurahisisha utaratibu wa uchumi na kuongezeka kwa maafikiano.
 
== Cheo katika Ngazi za Kimataifa ==
Line 421 ⟶ 422:
== Tazama pia ==
{{Lango|Ghana}}
 
* [[Jumuiya ya Madola]]
* [[Orodha ya nafasi katika ngazi za kimataifa]]
* [[Vidokezo kuhusu Afrika]]
* [[Vidokezo kuhusu jiografia]]
* [[Umoja wa Mataifa]]
* [[Uchukuzi Ghana]]
Line 469 ⟶ 466:
[[Jamii:Nchi za Afrika]]
[[Jamii:Umoja wa Afrika]]
[[Jamii:Bahari ya Atlantiki]]
[[Jamii:Shirika la Uchumi la Mataifa ya Afrika Magharibi]]
[[Jamii:Nchi na maeneo yanayozungumza Kingereza]]
[[Jamii:Demokrasia huria]]
[[Jamii:Jumuiya ya Madola]]