Guinea Bisau : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 54:
}}
[[Picha:Guinea bissau sm03.png|left|Map of Guinea-Bisau]]
'''Guinea-Bisau''' (pia: ''Ginebisau'') ni nchi ndogo katika [[Afrika ya Magharibi]]. Iko [[mwambao|mwambaoni]] kwa [[Bahari Atlantiki]] ikipakana na [[Senegal]] upande wa [[kaskazini]] na [[Guinea]] upande wa [[kusini]].
 
Iko [[mwambao|mwambaoni]] kwa [[Bahari Atlantiki]] ikipakana na [[Senegal]] upande wa [[kaskazini]] na [[Guinea]] upande wa [[kusini]].
== Historia ==
Zamani ilikuwa [[koloni]] la [[Ureno]] kwa [[jina]] la [[Guinea ya Kireno]]. Baada ya [[uhuru]] ([[1973]]/[[1974]]) jina la [[mji mkuu]] wake lilishika nafasi ya nchi tawala kuwa Guinea-Bisau kwa kusudi la kuitofautisha na nchi jirani ya Guinea na ile ya [[Guinea ya Ikweta]].
 
== Jiografia ==
Line 64 ⟶ 63:
=== Miji ===
Miji mikubwa zaidi ya Guinea Bisau ni: [[Bisau]] (wakazi 388.028), [[Bafatá]] (wakazi 22.521), [[Gabú]] (wakazi 14.430), [[Bissorã]] (wakazi 12.688), [[Bolama]] (wakazi 10.769) na [[Cacheu]] Einwohner (10.490).
 
== Historia ==
Zamani ilikuwa [[koloni]] la [[Ureno]] kwa [[jina]] la [[Guinea ya Kireno]]. Baada ya [[uhuru]] ([[1973]]/[[1974]]) jina la [[mji mkuu]] wake lilishika nafasi ya nchi tawala kuwa Guinea-Bisau kwa kusudi la kuitofautisha na nchi jirani ya Guinea na ile ya [[Guinea ya Ikweta]].
 
== Watu ==
Line 71 ⟶ 73:
[[Waafrika]] ni 99%: makundi makubwa ni [[Wabalanta]] 30%, [[Wafulbe]] 20%, [[Wamanjaca]] 14%, [[Wamandinka]] 13%, [[Wapapel]] 7%). [[Wazungu]] na [[chotara|machotara]] chini ya 1%.
 
===Lugha===
Pamoja na [[lugha]] asilia, 14% za wakazi wanasema [[Kireno]] ambacho ndicho [[lugha rasmi]] na 44% wanatumia [[Krioli]] maalumu ya Kireno ambayo ni kama [[lugha ya taifa]] inayounganisha ma[[kabila]].
===Angalia pia===
[[Orodha ya lugha za Guinea-Bisau]]
 
=== Dini ===
Takriban 50% ni [[Waislamu]] (hasa [[Wasuni]]), 40% wafuasi wa [[dini asilia za Kiafrika]], 10 % [[Wakristo]] (hasa [[Wakatoliki]]).
 
===Angalia pia===
[[Orodha ya lugha za Guinea-Bisau]]
 
==Tanbihi==
Line 123 ⟶ 124:
{{Mbegu-jio-Afrika}}
 
[[Jamii:Nchi za Afrika]]
[[Jamii:Guinea Bisau| ]]
[[Jamii:Nchi za Afrika]]
[[Jamii:Umoja wa Afrika]]
[[Jamii:Nchi zinazotumia Kireno]]
[[Jamii:Nchi zinazotumia lugha ya Kifaransa]]