Kamerun : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 62:
== Historia ==
{{main|Historia ya Kamerun}}
==Historia ya awali==
Katika [[karne]] za [[BK]] [[Wabantu]] wenye [[ujuzi]] wa [[kilimo]] na [[uhunzi]] walianza uenezi wao kutoka huko kwenda kutawala maeneo mengi ya [[Afrika ya Kati]], [[Kusini mwa Afrika]] na [[Afrika Mashariki]].
 
==Wakati wa ukoloni==
Kamerun ilikuwa [[koloni]] la [[Ujerumani]] hadi [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia]]. Baada ya [[Ujerumani]] kushindwa vita, nchi ikagawiwa kati ya [[Uingereza]] na [[Ufaransa]] chini ya mamlaka ya [[Shirikisho la Mataifa]] kama [[eneo la kukabidhiwa]].
 
==Tangu uhuru hadi leo==
Mwaka wa [[1960]], [[Ufaransa|Wafaransa]] waliacha '''Kamerun''' ikawa nchi huru, na kuungana na sehemu ya kusini ya [[Kamerun ya Kiingereza]] mwaka [[1961]] kuunda ''Shirikisho la Jamhuri ya Kamerun''.
 
Baadaye jina likabadilishwa kuwa ''Jamhuri ya Muungano ya Kamerun'' mwaka wa [[1972]], halafu tena ''Jamhuri ya Kamerun'' (kwa [[Kifaransa]] ''République du Cameroun'') mwaka wa [[1984]].
 
== Siasa ==