Masokwe wadogo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '{{Uainishaji | rangi = pink | jina = Masokwe wadogo | picha = Hylobates lar pair of white and black 01.jpg | upana_wa_picha = 250px | domeni = Eukaryota | h...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 17:04, 1 Oktoba 2015

Masokwe wadogo

Uainishaji wa kisayansi
Domeni: Eukaryota
Himaya: Animalia
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mamalia (wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
Oda: Primates (Wanyama wanaofanana kiasi na binadamu)
Nusuoda: Haplorrhini (Wanyama wanaofanana zaidi na kima)
Oda ya chini: Simiiformes (Wanyama kama kima)
Familia ya juu: Hominoidea (Masokwe)
Familia: Hylobatidae (Masokwe wadogo)

Masokwe wadogo (Kilatini: Hylobatidae) ni Familia ya Masokwe. Masokwe wadogo wanaishi katika maeneo ya tropiki ya Asia ya Kusini-Mashariki.

Uainishaji

Picha