Mkoa wa Iringa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d fixing dead links
No edit summary
Mstari 3:
[[Image:Iringa_Regionen.png|right|260px|thumb|Wilaya za Mkoa wa Iringa na mikoa jirani]]
 
'''Mkoa wa Iringa''' ni moja kati ya mikoa 26 za [[Tanzania]]. Umepakana na mikoa ya jirani ya [[Mkoa wa Morogoro|Morogoro]], [[Mkoa wa Ruvuma|Ruvuma]], [[Mkoa wa Mbeya|Mbeya]], [[Mkoa wa Singida|Singida]] na [[Mkoa wa Dodoma|Dodoma]]. Mkuu wa Mkoa ni Halima Y. Kasungu.
 
==Jiografia==
Mkoa wa Iringa uko katika Nyanda za Juu za Kusini mwa Tanzania. Mkoa huu unapakana na ukanda mkavu wa kati wa Tanzania katika upande wa kaskazini na kupakana kusini na Ziwa Nyasa. Mkoa wa Iringa umetanda kati ya latitudo 7º 05˝ na 12º 32˝ kusini, na longitude 33º 47˝ hadi 36º 32˝ mashariki mwa Meridian. [[Ziwa Nyasa]] linatenganisha Mkoa wa Iringa na nchi ya Malawi upande wa kusini Magharibi mwa Tanzania.
 
Hadi mwaka 2012 Mkoa wa Iringa unaulikuwa na eneo lenye ukubwa wa jumla ya km² 58,936. Wastani wa asilimia 74 ya eneo hili linafaa kwa shughuli za kilimo ambalo ni sawa na km² 43,935. Eneo linalobakia la km2 15,001 ni eneo la maji, hifadhi ya mbuga za wanyama, milima na misitu.
 
Tangu mwaka 2012 maeneo ya [[Mkoa wa Njombe]] yalitengwa na Iringa na kuwa mkoa mpya kwa hiyo eneo la Iringa limepungua kilomita za mraba 21,347.
 
==Wakazi==
Mwaka 20022012 palikuwa na wakazi 1941,495,333238 <ref>[http://web.archive.org/web/20031215150658/http://www.tanzaniawavuti.goweebly.tzcom/censusuploads/census3/iringa0/7/6/3076464/census20general20report20-202920march202013_combined_final20for20printing1.htmpdf Sensa ya 2012, Iringa Region]</ref> katika wilaya zifuatazo: [[Iringa Kijijini]] (wakazi 245254,623032), [[Wilaya ya Mufindi|Mufindi]] (wakazi 283265,032829), [[Wilaya ya MaketeKilolo|MaketeKilolo]] (wakazi 106218,061), [[Wilaya ya Njombe|Njombe]] (wakazi 420,348), [[Wilaya ya Ludewa|Ludewa]] (wakazi 128,520130), [[Iringa Mjini]] (wakazi 106151,668345), na [[Wilaya ya KiloloMafinga|KiloloMafinga Mjini]] (wakazi 20551,081902).
 
Makao makuu yako [[Iringa (mji)|Iringa mjini]].