Tofauti kati ya marekesbisho "Izazi"

945 bytes removed ,  miaka 6 iliyopita
no edit summary
d (fixing dead links)
'''Izazi ''' ni jina la kata ya [[Wilaya ya Iringa Vijijini]] katika [[Mkoa wa Iringa]], [[Tanzania]]. Wakati wa wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 5,281 waishio humo. <ref>[http://http://www.wavuti.weebly.com/uploads/3/0/7/6/3076464/census20general20report20-202920march202013_combined_final20for20printing1.pdf Sensa ya 2012, Iringa Region- Iringa District Council]</ref>
{{Infobox Settlement
|jina_rasmi = Kata ya Izazi
|picha_ya_satelite =
|maelezo_ya_picha =
|pushpin_map =
|pushpin_map_caption = Mahali pa Izazi katika Tanzania
|settlement_type = Kata
|subdivision_type = [[Madola|Nchi]]
|subdivision_name = [[Tanzania]]
|subdivision_type1 = [[Mikoa ya Tanzania|Mkoa]]
|subdivision_name1 = [[Mkoa wa Iringa|Iringa]]
|subdivision_type2 = [[Wilaya za Tanzania|Wilaya]]
|subdivision_name2 = [[Wilaya ya Iringa Vijijini|Iringa Vijijini]]
|wakazi_kwa_ujumla = 17346
|latd= |latm= |lats= |latNS=S
|longd= |longm= |longs= |longEW=E
|website =
 
}}
 
'''{{BASEPAGENAME}}''' ni jina la [[kata]] ya [[Wilaya ya Iringa Vijijini]] katika [[tarafa]] ya [[Ismani]], [[wilaya]] ya Iringa vijijini, [[Mkoa wa Iringa]], [[Tanzania]].
 
Kwa mujibu wa [[sensa]] iliyofanyika [[mwaka]] wa [[2002]], kabla kata haijamegwa, ilikuwa na wakazi wapatao 17,346.
 
Kwa sasa imebaki na vijiji vitatu tu, yaani Izazi, [[Makuka]] na [[Mnadani]], vyote vikiwa katika [[Bonde la Ufa]] kwenye [[bwawa la Mtera]] (ambalo likijaa kabisa liko katika [[mita]] 698.5 juu ya [[usawa wa bahari]]). Ni sehemu ya chini zaidi katika [[Nyanda za Juu]] Kusini mwa Tanzania.
 
Upande wa [[dini]], baada ya ile ya jadi, [[Waarabu]] waliohamia kutoka [[Yemen]] kwa ajili ya [[biashara]] na [[uwindaji]] wakati wa [[ukoloni]] wa [[Waingereza]] walileta [[Uislamu]]. Kuanzia mwaka [[1953]] [[Ukristo]] ulienea zaidi kwa juhudi za [[Kanisa Katoliki|Wakatoliki]], halafu za [[Waanglikana]]. Siku hizi mchanganyiko wa watu umezidisha pia mchanganyiko wa madhehebu.
 
<ref>{{cite web|url=http://www.tanzania.go.tz/census/census/districts/iringarural.htm|title=2002 Population and Housing Census General Report|publisher=Government of [[Tanzania]]|language=en|accessdate=2008-08-21|archiveurl=http://web.archive.org/web/20040318023226/http://www.tanzania.go.tz/census/census/districts/iringarural.htm|archivedate=2004-03-18}}</ref>
 
==Marejeo==