Msimbo wa posta : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Stamp Soviet Union 1977 CPA 4775.jpg|thumbnail|Stempu ya Kirusi mnamo mwaka 1977 inayotangaza matumizi ya misimbo ya posta]]
[[Picha:Components of a Canadian postal code.png|thumbnail|Sehemu za msimbo wa posta wa Kanada (herufi + tarakimu)]]
'''Msimbo wa posta''' <ref>wakati mwingine pia: postikodi</ref> ([[ing.]] ''post code'', ''ZIP'' au ''PIN'') ni ufutanao wa [[tarakimu]] au herufi unaotaja eneo ambako [[barua]] inatakiwa kufikishwa.
 
Siku hizi nchi nyingi za dunia hutumia misimo ya posta. Kusudi lake ni kurahisisha kazi ya kuchambua na kutenganisha barua zinazopokelewa kufuatana na mahali zinapotumwa. Si lazima tena mfanyakazi wa posta ajue mahali pengi inatosha kugawa barua kufuatana na misimbo iliyoandikwa kwenye bahasha. Kwa hiyo misimbo hupangwa kufuatana na utaratibu wa kugawa na kusafirisha barua.