Kihindi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
+viungo vya nje
No edit summary
Mstari 1:
'''Kihindi''' ([[Devanagari]]: हिन्दी au हिंदी) ni [[Lugha za Kihindi-Kiulaya|lugha ya kitaifaKihindi-Kiulaya]] nchini [[Uhindi]], [[Nepal]], [[Afrika Kusini]] na [[Singapuri]] inayozungumzwa na [[Wahindi]]. KinaelewekaNi lugha ya kitaifa nchini Uhindi. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kihindi nchini Uhindi imehesabiwa kuwa watu milioni 258; tena kuna watu milioni 120 ambao huitumia lugha ya Kihindi kama lugha ya pili au ya mawasiliano. Wengine husema kwamba kinaeleweka kati ya theluthi mbili ya Wahindi wote yaani takriban watu milioni 650., Wasemajina wasemaji wa Kihindi kama lugha ya kwanza ni zaidi ya milioni 180. Pia kuna wasemaji 361,000 nchini Afrika Kusini (2003), wasemaji 77,600 nchini Nepal (2011) na wasemahi 13,100 nchini Singapuri (2010). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kihindi iko katika kundi la Kiaryan au la [[lugha za Kihindi-Kiajemi]]. Lugha za karibu ni pamoja na [[Kipunjabi]], [[Kisindhi]], [[Kigujarati]], [[Kimarathi]] na [[Kibengali]].
 
Kinahesabiwa kuwa kati ya [[lugha za Kihindi-Kiajemi]] ndani ya [[lugha za Kihindi-Kiulaya]]. Lugha za karibu ni pamoja na [[Kipunjabi]], [[Kisindhi]], [[Kigujarati]], [[Kimarathi]] na [[Kibengali]].
 
Lugha imetoka katika [[Sanskrit]] ya kale iliyokuwa lugha ya chanzo cha utamaduni wa Uhindi.
Line 9 ⟶ 7:
 
==Viungo vya nje==
*[http://multitree.org/codes/hin lugha ya Kihindi kwenye Multitree]
*[http://llmap.org/languages/hin.html ramani ya Kihindi]
*[http://www.language-archives.org/language/hin makala za OLAC kuhusu Kihindi]
*[http://glottolog.org/resource/languoid/id/hind1269 lugha ya Kihindi katika Glottolog]
*[http://www.ethnologue.com/language/hin lugha ya Kihindi kwenye Ethnologue]
 
{{mbegu-lugha}}
 
{{DEFAULTSORT:Hindi}}
[[Jamii:Lugha za Uhindi]]
 
[[Jamii:Lugha za Afrika Kusini]]
[[Jamii:Lugha za Nepal]]
[[Jamii:Lugha za Singapuri]]
[[Jamii:Lugha za Kihindi-Kiajemi]]