Tofauti kati ya marekesbisho "Izazi"

134 bytes added ,  miaka 6 iliyopita
no edit summary
No edit summary
No edit summary
Baada ya bwawa la [[Mtera]] kupatikana, [[uvuvi]] umekuwa kivutio kipya kwa watu kutoka Tanzania nzima, ingawa uwezekano wake unategemea wingi wa [[maji]].
 
Upande wa [[dini]], baada ya ile ya jadi, [[Waarabu]] waliohamia kutoka [[Yemen]] kwa ajili ya [[biashara]] na [[uwindaji]] wakati wa [[ukoloni]] wa [[Waingereza]] walileta [[Uislamu]]. Kuanzia mwaka [[1953]] [[Ukristo]] ulienea zaidi kwa juhudi za [[Kanisa Katoliki|Wakatoliki]], halafu za [[Waanglikana]]. Siku hizi mchanganyiko wa watu umezidisha pia mchanganyikowingi wa [[madhehebu]].
 
Siku hizi [[barabara]] inayopita kijijini ikiunganisha [[Iringa]] na [[Dodoma]], hivyo pia [[Cape Town]] na [[Kairo]], imetiwa [[lami]].
 
==Marejeo==