Nyang'oro : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Nyang'oro ''' ni [[jina]] la [[kata]] ya [[tarafa ya Ismani]] [[Wilaya ya Iringa Vijijini]] katika [[Mkoa wa Iringa]], [[Tanzania]]. Wakati wa wa [[sensa]] iliyofanyika mwaka wa 20122[[0]]12, kata ilikuwa na wakazi wapatao 9,810 waishio humo. <ref>[http://http://www.wavuti.weebly.com/uploads/3/0/7/6/3076464/census20general20report20-202920march202013_combined_final20for20printing1.pdf Sensa ya 2012, Iringa Region- Iringa District Council]</ref>
Ni eneo maarufu kwa [[kilimo]] hasa cha [[mahindi]], ingawa ardhi imechoka kutokana na matumizi makubwa, hasa katika [[miaka ya 1950]] na [[miaka ya 1960|1960]], Ismani peke yake ilipokuwa inaweza kuzalisha kuliko Tanzania nzima.
 
Siku hizi [[barabara]] inayopita kijijini ikiunganisha [[Iringa]] na [[Dodoma]], hivyo pia [[Cape Town]] na [[Kairo]], imetiwa [[lami]].
 
{{Kata za Wilaya ya Iringa Vijijini}}
{{mbegu-jio-iringa}}
 
==Marejeo==
{{marejeo}}
{{marejeo}} {{Kata za Wilaya ya Iringa Vijijini}} [[Jamii:Wilaya ya Iringa Vijijini]] [[Jamii:Mkoa wa Iringa]] {{mbegu-jio-iringa}}
 
[[Jamii:Wilaya ya Iringa Vijijini]]
[[Jamii:Mkoa wa Iringa]]