Jamhuri ya Kongo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Tengua pitio 956281 lililoandikwa na 101.183.26.251 (Majadiliano)
No edit summary
Mstari 49:
Nchi ilikuwa [[koloni]] la [[Ufaransa]] hadi tarehe [[15 Agosti]] [[1960]].
 
==Historia==
Wakazi wa kwanza huaminiwa kuwa [[wawindaji]] wa jamii ya [[Wasani]] na ya [[Wabilikimo]].
 
Katika [[karne]] za [[BK]] walifika wahamiaji [[Wabantu]] wenye [[ujuzi]] wa [[kilimo]] na [[uhunzi]] waliotawala eneo lote na kuendesha [[biashara]] katika [[beseni]] ya [[mto Kongo]].
 
Baadaye eneo hilo lilikuwa sehemu ya [[koloni]] la [[Afrika ya Kiikweta ya Kifaransa]]
 
Baada ya [[uhuru]] tarehe [[15 Agosti]] [[1960]] nchi ilitawaliwa na [[Wakomunisti]] tangu mwaka [[1970]] hadi [[1991]].
 
Kuanzia mwaka [[1992]] zilifanyika chaguzi kwa mfumo wa vyama vingi, lakini mwaka [[1997]] vilitokea [[vita vya wenyewe kwa wenyewe]].
 
[[Rais]] [[Denis Sassou Nguesso]] ametawala miaka 26 kati ya 36 ya mwisho.
 
==Watu==