Historia ya Libya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Historia ya Libya''' inahusu eneo la Afrika Kaskazini ambalo wakazi wake leo wanaunda Jamhuri ya Libya. {{Africa topic|Historia ya|title=Hist...'
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Historia ya Libya''' inahusu eneo la [[Afrika Kaskazini]] ambalo wakazi wake leo wanaunda [[Jamhuri]] ya [[Libya]].
 
Wakazi asili walikuwa [[Waberber]]. Baadaye wakaja [[Wafoinike]] upande wa [[magharibi]] na [[Wagiriki]] upande wa [[mashariki]].
 
Hatimaye Libya ikamezwa na [[Dola la Roma]], na [[Ukristo]] ukaenea.
 
Baada ya dola hilo kuanguka, [[Wavandali]] waliteka sehemu kubwa ya nchi.
 
Katika karne ya 7 [[Waarabu]] waliingiza [[Uislamu]] na [[utamaduni]] wao.
 
Mwaka [[1551]] [[Waturuki]] walifukuza [[Wazungu]] kutoka [[Tripoli (Libya)|Tripoli]] wakatawala hadi [[karne ya 20]].
 
Nchi ilitawaliwa na [[Waitalia]] tangu mwaka [[1911]] hadi [[1941]].
 
[[Waingereza]] waliacha nchi mwaka [[1951]] mikononi mwa mfalme mwenyeji.
 
Kisha kupindua [[mfalme]] [[Idris I]], [[Muammar al-Gaddafi]] alitawala ki[[dikteta]] tangu mwaka [[1969]] hadi [[mapinduzi|alipopinduliwa]] na kuuawa mwaka [[2011]].
 
Baada ya hapo wananchi wanazidi kupigana katika [[vita vya wenyewe kwa wenyewe]].
 
{{Africa topic|Historia ya|title=[[Historia ya Afrika]]}}