Sierra Leone : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 63:
 
== Historia ==
{{main|Historia ya Sierra Leone}}
Nchi yenyewe ilianzishwa na [[Waingereza]] kwa kuunda [[mji]] wa [[Freetown]] ("Mji wa watu huru") [[mwaka]] [[1787]]. Kusudi lake likuwa kuwarudisha [[Afrika]] watu waliowahi kuwa [[watumwa]]. Kiasili wale wakazi wa kwanza walikuwa watumwa weusi waliopewa [[uhuru]] kwa sababu walishikamana na Waingereza dhidi ya [[Wamarekani]] katika [[vita vya uhuru wa Marekani]].