Christopher Mtikila : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q5112915 (translate me)
Mstari 9:
Kesi za kikatiba ambazo amewahi kufungua ni pamoja kesi ya kutaka wagombea binafsi kuruhusiwa katika uchaguzi Tanzania, wananchi wa [[Tanzania Bara]] kuruhusiwa kwenda Zanzibar bila pasipoti, na vyama vya siasa kuruhusiwa kufanya mikutano bila kuomba kibali toka kwa [[Mkuu wa Wilaya]] na polisi.
 
Mtikila alifungwa kwa mwaka mmoja mwaka 1999 baada ya kupatikana na hatia ya kutoa maneno ya kashfa dhidi ya aliyekuwa katibu mkuu wa [[CCM]], marehemu Horace Kolimba. Mwaka 2004 alihukumiwa kifungo kilichosimamishwa cha miezi sita kwa kutoa maneno ya kashfa dhidi ya mkuu wa polisi wa wilaya ya [[Ilala]].
 
Mchungaji Mtikali amefariki Jumapili alfajiri Oktoba 2015 kwa ajali ya gari kwenye kjiji cha Msolwa wilaya ya Chalinze
 
==Viuongo vya nje==