Christopher Mtikila : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 11:
Mtikila alifungwa kwa mwaka mmoja mwaka 1999 baada ya kupatikana na hatia ya kutoa maneno ya kashfa dhidi ya aliyekuwa katibu mkuu wa [[CCM]], marehemu Horace Kolimba. Mwaka 2004 alihukumiwa kifungo kilichosimamishwa cha miezi sita kwa kutoa maneno ya kashfa dhidi ya mkuu wa polisi wa wilaya ya [[Ilala]].
 
Mchungaji Mtikali amefariki alfajiri Jumapili alfajiri4 Oktoba 2015 kwa ajali ya gari kwenye kjijikijiji cha Msolwa wilaya ya Chalinze .
 
==Viuongo vya nje==