Kufa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d (GR) File renamed: File:Kufic Quran 7th Cent.jpgFile:Kufic Quran, sura 7, verses 86-87.jpg File renaming criterion #3: To correct obvious errors in file names, including misspelled [[c::en:Noun#Pr...
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Kufa Irak.PNG|thumb|250px|Mahali pa Kufa nchini Irak]]
'''Kufa''' (pia: '''Kofa'''; kwa [[Kar.Kiarabu]] الكوفة, ''al-kūfah'') ni mji wa [[Irakmji]] takriban 170 km kusini yawa [[BaghdadIrak]] mwenyewenye wakazi 110,000 .
 
IkoUko takriban 170 [[km]] [[kusini]] kwa [[Baghdad]] na 10 km [[kaskazini]] yakwa [[Najaf]] kando laya [[mto Frati]].

Kama mahali pa [[mauti]] ya [[Imam Ali]], Kufa pamoja na [[Samarra]], [[Karbala]] na Najaf ni kati ya miji minne mitakatifu ya [[Washia]] nchini Irak.
 
== Historia ==
Mji ulijulikana kwa jina la Surestan katika [[milki]] ya [[Uajemi]] wa Kale.

Baada ya uvamizi wa [[Kiislamu]] mnamomwaka [[637]] palikuwa na kambi kubwa la kijeshi lililoendelea kuwa [[mji mkuu]] wa kwanza wa [[Uislamu]]. [[Wanajeshi]] Waislamu 30,000 walipelekwa hapo kama [[walowezi]]. [[Khalifa]] [[Ali ibn Abu Talib]] alipeleka [[makao makuu]] yake hapo mwaka [[656]] akafa mjini mwaka .
 
Mwaka [[749]] [[Waabbasi]] baada ya kupindua [[Wamuawiya]] walifanya Kufa mji mkuu wa [[khilafa]] hadi [[762]] walipohamia [[Baghdad]].
[[Picha:Kufic Quran, sura 7, verses 86-87.jpg|thumb|200px|Kurani kwa mwandiko wa Kikufa, karne ya 8]]
Umuhimu wa Kufa ulipungua kisiasaki[[siasa]] lakini uliendelea kiutamaduniki[[utamaduni]] hadi [[karne ya 11]]. Mji ulikuwa [[kitovu]] cha theolojia[[teolojia]] ya Kiislamu na masomo ya [[Kurani]]. [[Abu Hanifa]], mwanzilishaji[[mwanzilishi]] wa mkondo wa maelezo ya [[fiq]], alikuwa mtu wa Kufa. Mtindo wa kwanza wa [[mwandiko]] wa Kiarabu huitwa "[[Mwandiko wa Kufa]]" hadi leo.
 
Baada ya karne ya 11 mji uliharibiwa vitani mara kwa mara ukaanza kupungua sana hadi kukua katika karne ya 20.
 
Baada ya karne ya 11 mji uliharibiwa vitani[[vita]]ni mara kwa mara ukaanza kupungua sana hadi kukua tena katika [[karne ya 20]].
 
[[Jamii:Miji ya IrakIraq]]
[[Jamii:Shia]]