Maafa asilia : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Maafa asilia''' ni tukio linalosababisha mabadiliko kwenye uso wa ardhi au angahewa ya dunia yanayoleta hasara kubwa kwa mali na maisha ya binadamu, na sabab...' |
No edit summary |
||
Mstari 1:
'''Maafa asilia''' ni tukio linalosababisha mabadiliko kwenye uso wa ardhi au [[angahewa]] ya [[dunia]] yanayoleta hasara kubwa kwa [[mali]] na maisha ya [[binadamu]], na sababu zake ni za kiasili. Mifano yake ni [[tetemeko la ardhi]], [[banguko]], [[kimbunga]], [[mafuriko]], [[tsunami]] au [[mlipuko wa volkeno]]. Matukio
==Maafa ya asili na maafa yaliyosababishwa na binadamu==
Kuna maafa mbalimbali
*Kwa jumla ni [[vita]] na [[uaji|mauaji]] ya vikundi fulani zilizosabisha [[Kifo|vifo]] vingi
*[[ajali]] na milipuko katika [[viwanda]] vikubwa na [[ghala]] za [[baruti]] vinaweza kuua watu na kusumisha mazingira, kwa mfano [[maafa ya kikemia ya Bhopal]] nchini [[Uhindi]] (vifo 20,000)
*Mafuriko hutokea kutokana na kuziba njia asilia za [[mito]] na [[ujenzi]] wa [[nyumba]] katika maeneo haya ambako watu hupata hasara kama nyumba zao zinaharibika
* maafa kutokana na ajali wakati wa kusafirisha [[kemikali]], [[mafuta]] au baruti
* maafa ya mazingira ambako kemikali [[sumu]] au mafuta zinasambaa (k.m. [[mlipuko wa BP Deepwater Horizon]] kwenye [[ghuba
* maafa ya [[nyuklia]] ambako [[vituo vya nyuklia]] vinaharibika, kwa mfano maafa ya [[Chernobyl]] ([[Ukraine]], mwaka [[1986]]) au maafa ya [[Fukushima]]
Mara nyingi ni matendo ya
==[[Tetemeko la ardhi]]==
Mstari 24:
==[[Mlipuko wa volkeno]]==
{{mbegu}}
[[Jamii:Maafa asilia]]
|