Maafa asilia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 17:
Nguvu ya uharibifu unaweza kutofautiana sana. Kwa mfano tetemeko la ardhi lenye nguvu ya 6.4 liliharibu mji wa Bam, Iran mwaka 2003 na kusababisha vifo vya watu zaidi ya 40,000. Lakini tetemeko huko Northridge, Kalifornia ya mwaka 1994 ilikuwa na nguvu ileile ila tu ni watu 60 waliofariki<ref>[http://earthquake.usgs.gov/earthquakes/states/events/1994_01_17.php Taarifa ya US Geological Survey]</ref>. Tofauti ilikuwa ubora wa majengo katika maneo yaliyohusika. Ilhali takriban wanafunzi 10,000 walifariki, huko Marekani shule zote zilisimama. Athira nyingine ilikuwa hali ya huduma za dharura na muda mahanga yalikaa chini ya kifusi cha majengo.
 
[[Picha:Caraballeda 1999 Deposits and Damage.jpg|thumbnail|Uharibifu baada ya banguko hko Venezuela mwaka 1999]]
==[[Banguko]]==
Banguko ni kiasi kikubwa cha [[mawe]], [[ardhi]], [[theluji]] au [[barafu]] kinachoanza kuteleza kwenye mtelemko wa mlimani na kuelekea bondeni. Banguko unaweza kusababushwa na tetemeko la ardhi, kuyeyuka kwa theluji mlimani au mvua mkali.
 
Banguko kubwa la mwaka 1999 liliharibu nyumba zaidi ya 8,000 na kuua idadi ya watu isiyojulikana lakini imekadiriwa kuwa kati ya watu 10,000 hadi 30,000 <ref>[http://pubs.usgs.gov/of/2001/ofr-01-0144/ Taarifa ya US Geological Survey]</ref>. Mwaka 2010 banguko kwenye mitelemko ya [[mlima Elgon]] huko [[Uganda]] likaua watu zaidi ya 100.<ref>[http://uk.reuters.com/article/2010/03/02/idUKLDE621183._CH_.2420 Taarifa ya Reuters News]</ref>
 
==[[Kimbunga]]==