Maafa asilia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 21:
Banguko ni kiasi kikubwa cha [[mawe]], [[ardhi]], [[theluji]] au [[barafu]] kinachoanza kuteleza kwenye mtelemko wa mlimani na kuelekea bondeni. Banguko unaweza kusababushwa na tetemeko la ardhi, kuyeyuka kwa theluji mlimani au mvua mkali.
 
Banguko kubwa la mwaka 1999 nchini [[Venezuela]] liliharibu nyumba zaidi ya 8,000 na kuua idadi ya watu isiyojulikana lakini imekadiriwa kuwa kati ya watu 10,000 hadi 30,000 <ref>[http://pubs.usgs.gov/of/2001/ofr-01-0144/ Taarifa ya US Geological Survey]</ref>. Mwaka 2010 banguko kwenye mitelemko ya [[mlima Elgon]] huko [[Uganda]] likaua watu zaidi ya 100.<ref>[http://uk.reuters.com/article/2010/03/02/idUKLDE621183._CH_.2420 Taarifa ya Reuters News]</ref>
 
==[[Kimbunga]]==