Maafa asilia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 13:
 
==[[Tetemeko la ardhi]]==
[[Tetemeko la ardhi]] (pia: zilizala) ni mishtuko ya ghafla kwenye [[ganda la dunia]]. Likifikia ukali fulani ni hatari hasa kwa majengo. Hatari kwa binadamu hutegemea na ubora wa majengo. Vifo vingi vinaweza kutokea wakati majengo yanaporomoka na kujeruhi au kuua watu. Hata tetemeko kali haliui watu waliopo [[pori|porini]] katika [[tambarare]] ingawa inatisha. Nguvu ya tetemeko la ardhi hupimwa kwenye skeli ya 0-9 au zaidi<ref>Matetemeko makali yaliyopimwa yalipita kidogo kiwango cha 9; matetemeko makali zaidi yanawezekana lakini hayakupimwa bado</ref>linatisha.
 
Nguvu ya tetemeko la ardhi hupimwa kwenye [[skeli]] ya 0-9 au zaidi<ref>Matetemeko makali yaliyopimwa yalipita kidogo kiwango cha 9; matetemeko makali zaidi yanawezekana lakini hayakupimwa bado</ref>.
Nguvu ya uharibifu unaweza kutofautiana sana. Kwa mfano tetemeko la ardhi lenye nguvu ya 6.4 liliharibu mji wa Bam, Iran mwaka 2003 na kusababisha vifo vya watu zaidi ya 40,000. Lakini tetemeko huko Northridge, Kalifornia ya mwaka 1994 ilikuwa na nguvu ileile ila tu ni watu 60 waliofariki<ref>[http://earthquake.usgs.gov/earthquakes/states/events/1994_01_17.php Taarifa ya US Geological Survey]</ref>. Tofauti ilikuwa ubora wa majengo katika maneo yaliyohusika. Ilhali takriban wanafunzi 10,000 walifariki, huko Marekani shule zote zilisimama. Athira nyingine ilikuwa hali ya huduma za dharura na muda mahanga yalikaa chini ya kifusi cha majengo.
 
Nguvu ya uharibifu unawezainaweza kutofautiana sana. Kwa mfano, tetemeko la ardhi lenye nguvu ya 6.4 liliharibu mji wa [[Bam]], [[Iran]] mwaka [[2003]] na kusababisha vifo vya watu zaidi ya 40,000. Lakini tetemeko huko [[Northridge]], [[Kalifornia]] ya mwaka [[1994]] ilikuwa na nguvu ileile ila tu ni watu 60 tu waliofariki<ref>[http://earthquake.usgs.gov/earthquakes/states/events/1994_01_17.php Taarifa ya US Geological Survey]</ref>. Tofauti ilikuwa ubora wa majengo katika maneomaeneo yaliyohusika. Ilhali takriban [[wanafunzi]] 10,000 walifariki, huko [[Marekani]] [[shule]] zote zilisimama. Athira nyingine ilikuwa hali ya [[huduma za dharura]] na muda wa mahanga yalikaakukaa chini ya [[kifusi]] cha majengo.
[[Picha:Caraballeda 1999 Deposits and Damage.jpg|thumbnail|Uharibifu baada ya banguko hko Venezuela mwaka 1999]]
 
[[Picha:Caraballeda 1999 Deposits and Damage.jpg|thumbnail|Uharibifu baada ya banguko hkohuko [[Venezuela]] mwaka [[1999]].]]
==[[Banguko]]==
[[Banguko]] ni kiasi kikubwa cha [[mawe]], [[ardhi]], [[theluji]] au [[barafu]] kinachoanza kuteleza kwenye [[mtelemko]] wa [[Mlima|mlimani]] na kuelekea [[bonde|bondeni]]. Banguko unaweza kusababushwakusababishwa na tetemeko la ardhi, kuyeyuka kwa theluji mlimani au [[mvua]] mkalikali.
 
Banguko kubwa la mwaka 1999 nchini [[Venezuela]] liliharibu nyumba zaidi ya 8,000 na kuua idadi ya watu isiyojulikana lakini imekadiriwa kuwa kati ya watu 10,000 hadi 30,000 <ref>[http://pubs.usgs.gov/of/2001/ofr-01-0144/ Taarifa ya US Geological Survey]</ref>. Mwaka [[2010]] banguko kwenye mitelemko ya [[mlima Elgon]] huko [[Uganda]] likaua watu zaidi ya 100.<ref>[http://uk.reuters.com/article/2010/03/02/idUKLDE621183._CH_.2420 Taarifa ya Reuters News]</ref>
 
==[[Kimbunga]] na [[tufani]]==
[[Tufani]] na [[kimbunga]] ni aina za [[dhoruba]] zenye mwendo wa kuzunguka. Zinatokea hasa katika [[kanda la tropiki]] la [[dunia]]. Zinaleta [[upepo]] mkali mno pamoja na kiasi kikubwa cha mvua. Zinaweza kubomoa nyumba, kuvuta watu na hata [[gari|magari]] [[hewa|hewani]] na kuleta mafuriko makali.
 
[[Tufani ya Katrina]] ya mwaka [[2005]] iliharibu mji wa [[New Orleans]] huko Marekani, ikasabisha vifo zaidi ya 12001,200 na hasara ya mali ya takriban bilioni [[dolar za Marekani]] [[bilioni]] 108<ref>[http://www.dhh.state.la.us/assets/docs/katrina/deceasedreports/KatrinaDeaths_082008.pdf Utathmini wa vifo kutokana na Katrina (2008)]</ref> <ref>[http://www.nhc.noaa.gov/pdf/nws-nhc-6.pdf THE DEADLIEST, COSTLIEST, AND MOST INTENSE UNITED STATES TRO PICAL CYCLONES FROM 1851 TO 2010, US WeatherService]</ref>.
 
==[[Mafuriko]]==
 
==[[Tsunami]]==
[[Tsunami]] ni [[wimbi]] kubwa sana katika [[bahari]] inayosababishwa na [[tetemeko la ardhi]], mlipuko wa volkeno au matokeo mengine yanayoleta mshtuko wa ghafla chini ya maji. Mshtuko huuhuo unapita nanindani ya maji si hatari sana kwa meli baharini maana haibadilishihaubadilishi mno uso wa bahari. LaiiLakini pale inapokutanaunapokutana na nchi kavu au kufikia sehemu ambako [[kina]] cha maji kinapungua kuna wimbi kubwa linalotokkealinalotokea na hii ni hatari kwenye pwani ambako wimbi hilihilo linafikia.
 
Tsunami inaweza kutokea pia baada ya banguko la mtelemko mkubwa kwenye pwani laya bahari au [[ziwa]]. Kabla ya kipindi cha kihistoria kulikuwa pia na tsunami zilizosababishwa na mgongano wa [[gimba la angani]] na uso wa dunia.
 
Tsunami zimewahi kutokea mara nyingi duniani. Kati ya taarifa za kwanza zilizotambua uhusiano kati ya tetemeko la ardhi na tsunami ni mwandishi [[Thukidides]] wa [[Ugiriki ya Kale]] <ref>[http://www.perseus.tufts.edu/hopper/text?doc=Thuc.+3.89.1&redirect=true Thucydides, History of the Peloponnesian War , Thomas Hobbes, Ed. online]</ref> mnamnomnamo mwaka [[426 KK]].
 
Tsunami kubwa iliyotazamiwailiyotazamwa kwa msaada wa vifaa vya [[Sayansi|kisayansi]] ni [[Tsunami#Tsunami_wa_Krismasi_2004|Tsunami wa Krismasi 2004]] katika [[Bahari Hindi]] iliyoua maelfu ya watu kuanzia [[Indonesia]], [[Sri Lanka]], [[Thailand]] na [[India]] hadi [[Somalia]] na [[Kenya]]. Ilisababishwa na tetemeko la ardhi kutokana na mwendo wa [[mabamba ya gandunia]], hapa [[bamba la Burma]] chini ya [[bamba la Uhindi]].
 
==[[Mlipuko wa volkeno]]==
[[Picha:Lava flow at Krafla, 1984.jpg|thumbnail|Mwendo wa lava kutoka shimo la vokenovolkeno kwenye [[kisiwa]] cha [[Iceland]], mnamo [[1984]].]]
[[Mlipuko wa volkeno]] ni kutokea vikali kwa [[lava]] na [[gesi]] kutoka ndani ya [[ganda la dunia]]. [[Volkeno]] hupatikana pale ambako vipande vya ganda la dunia vinaachana au kusukumana. Kuna pengo ambako [[magma]] joto kutoka ndani ya dunia inapanda juu kufika usoni.
 
Hii inaweza kutokea polepole lakini ikitokea kwa ghafla inaleta maafa katika mazingira penyeyenye makazi ya watu.
 
Milipuko ya volkeno mbalimbali zinaweza kutofautiana kutegeanakutegemeana na aina ya volkeno na hasa aina ya magma na lava zinazotoka nje.
 
*Kuna milipuko mikali inayorusha kiasi kikubwa cha [[mwamba wa joto]] katika umbali yawa [[kilomita]] kadhaa.
*kuna milipuko inayorusha [[majivu]] ya moto inayofunika kila kitu na kuganda kuwa [[mwamba]] tena.
*kuna milipuko ambako [[mto wa lava]] inatokaunatoka nje
*kuna [[gesi za sumu]] zinazotoka nje na kuua kila [[uhai]] kwenye njia yake.
*nguvu ya mlipuko inaweza kurusha miamba yenye kiasi cha [[kilomita za ujazo]] katika mazingira ya volkeno na kubadilisha uso wa dunia; mfano ni mlipuko wa [[mlima Krakatau]] huohuko IndonsesiaIndonesia mwaka [[1903]]; kisiwa cha Krakatau kilipotea kabisa.
 
==Mgongano wa gimba la angani==
Line 58 ⟶ 60:
<references/>
 
==TovutiViungo zavya Njenje==
==External links==
{{Wikiquote|Natural disasters}}
* {{cite web