Japani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 29:
|population_density_rank = ya 30
|GDP_nominal_year= 2004
|GDP_nominal = 4.8 trillionitrilioni
|GDP_nominal_rank = ya 2
|GDP_PPP_year= 2005
|GDP_PPP = $3.911 trillionitrilioni
|GDP_PPP_rank = ya 3
|GDP_PPP_per_capita = $30,615
Mstari 61:
}}
[[Picha:Japan sea map.png|thumb|left|250px|Ramani ya Japani]]
'''Japan''' ni [[nchi ya visiwa]] katika [[Pasifiki]] mbelemkabala yawa [[mwambao]] wa [[mashariki]] ya [[Asia]]. Wajapani wenyewe hutumia [[jina]] la "Nihon" au "Nippon" lenye maana ya "Mwanzo wa jua". Hivyo Japani huitwa pia "Nchi ya Macheo".
 
Nchi ina eneo la [[km²]] 377.000 km² na wakazi [[milioni]] 128.

Japani ni kati ya nchi za [[dunia]] zilizoendelea sana kiuchumiupande wa [[sayansi]], kiteknolojia[[teknolojia]] na kisayansi[[uchumi]]. Ilikuwa nchi ya kwanza nje ya [[Ulaya]] iliyofaulu kujenga jamii ya viwanda.
 
== Jiografia ==
Hujambo, Japani ni [[funguvisiwa]] yenye [[visiwa]] zaidi ya 3.000 mbele ya pwani laya [[Uchina]], [[Korea]] na [[Urusi]] ([[Siberia]]).
 
Visiwa vikubwa na muhimu zaidi ni vinne tu ndivyo [[Honshu]], [[Hokkaido]], [[Shikoku]] na [[Kyushu]]. Safu ya milima inapita visiwa vyote vikubwa na kusababisha msongamano makubwa ya wakazi katika miji kutokana na uhaba wa ardhi ya kukalia. Hali halisi Japani yote ni safu ya milima tu inayopanda juu kutoka msingi wa bahari na vilele vya milima yake huonekana juu ya uso wa bahari kama visiwa vikubwa au vidogo.
 
KijiolojiaKi[[jiolojia]] eneo hili liko kwenye mstari ambako [[bamba la gandunia|mabamba ya gandunia]] ya [[bamba la Ulaya-Asia|Ulaya-Asia]], [[bamba la Pasifiki|Pasifiki]] na [[bamba la Ufilipino|Ufilipino]] hukutana. Hii ni sababu ya kuwepo kwa [[volkeno]] 240 katika Japani na takriban 40 kati ya hizo ni hai pia kutokea kwa [[tetemeko la ardhi|matetemeko ya ardhi]] ya mara kwa mara. Hivyo Japani ni sehemu ya [[pete la moto la Pasifiki]] linalozunguka bamba la Pasifiki.
 
Japani inapatwa kila mwaka na [[dhoruba]] kali aina ya [[taifuni]]. Hata [[tsunami]] (ni neno la [[Kijapani]]) ni kawaida. Nchi inajikinga na mitambo mengi ya kutoa taarifa ya tsunami kuanza pia mitambo ya kufunga milango ya mabandari.
Line 166 ⟶ 168:
== Utamaduni ==
== Dini ==
 
{{mbegu-jio-Japani}}
==Tanbihi==
{{reflist}}
{{Asia}}
{{mbegu-jio-Japani}}
<!-- interwiki -->