Trigonometria : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
masahihisho madogo
Mstari 24:

== Fomula husisho za trigonometria ==
Kuna fomula [[husisho]]<ref>"Husisho" ni pendekezo la [[KAST]] kwa ing. "function"</ref> ''(ing. functions)'' tatu kwa pembetatu mraba katika trigonometria. Pamoja na husisho kinyume (ing. reciprocals) kuna sita kwa jumla.

'''Sini''' ''(ing. sine, sinus, kifupi '''sin''')'' - Sini ya pembe ni sawa na <math>{Mkabala \over Hipotenusi}</math>

Mstari 39:

'''Kotangenti''' ''(ing. cotangent, kifupi '''cot''')'' - Kotangenti ya pembe ni sawa na <math>{Tangamani \over Mkabala}</math> <ref>Kwa lugha ya Kiingereza wanafunzi hutumia sentensi kama zifuatazo kuwa msaada wa kukumbuka fomula hizi:
SOH-CAH-TOA:
:'''S'''ine = '''O'''ppposite ÷ '''H'''ypotenuse
:'''C'''osine = '''A'''djacent ÷ '''H'''ypotenuse
:'''T'''angent = '''O'''pposite ÷ '''A'''djacent
au sentensi kama '''S'''itting (or '''S'''ex) '''O'''n '''H'''ard '''C'''oncrete '''A'''lways '''H'''urts '''T'''ry '''O'''ther''' A'''lternatives
Bado inasubiri kutafsiriwa kwa Kiswahili maana somo hili inafundishwa kwa Kiingereza pekee hadi sasa katika Afrika ya Mashariki. </ref>

==Marejeo==